WABEBERU WANATUONEA: Tanzania’s president loves mega-projects. Careful planning, less so

The only thing that will save Danganyikas from these disasters is that govt censures bad publicity on public projects.. Otherwise kama hii lunatic line yenye wanajenga itakuwa the biggest white elephant project in the history of TZ.. mnakashifu SGR ya KE, hii ya TZ itakuwa national humiliation
 
Afu huyo muandishi wa kutoka ubeberuni katoa maoni nayopendekeza mm daily kujenga mabwawa ya umeme mid sized ambayo ni cheap na fast kuliko stiglaz hapo wa Tzn hutawaona wakijadili.Ministry responsible for energy development imetaja miradi kadhaa ya aina hiyo na cost associated but utekelezaji wake haueleweke ila kelele na nguvu kubwa ni costly stiglaz with undisclosed project costs,it means Kuna wizi unapangwa
 
S/he is a clueless character, ,

TZ already has a number of those midsized dams: Kihansi, Kidatu, Mtera, Njombe, Nyumba ya Mungu, Rusumo under construction etc..

Plus a number of gas to electricity generating stations. But how much combined do they contribute to the national grid?

We have a growing population and big industrialisation ambitions therefore our forecasted demand cannot be sustained with small or midsized power hydro dams.

In fact, if I have to advice JPM, I would tell him to consider going the big "N" route... Nuclear! we have plenty of Uranium lying on the sub surface of the very same Selous reserve🙂
 
Toka zako huko miradi yote ya kuzalisha umeme wa maji iliyoko njombe 3 hakuna hata mmoja ambao uko kwenye ujenzi ukiacha rusumo.endapo ingezajengwa kwa pamoja ingeongeza zaidi ya mgwat 1000 kwenye grid tena kwa bei nafuu na ingekamilika haraka,,hapo bado gas au makaa ya mawe
Megawatt zaidi ya 2000 hadi tuzimalize lazima kufikia uchumi zaidi ya 100bln gdp ambapo ingechukua zaidi ya miaka 15 ijayo sasa haraka ya stiglaz ambayo ni costful ya nn na inafanywa siri kama sio wizi wa kutafutia chama pesa za kuhonga kipindi cha kampeni?
 
A Train/Rail system cant use more than 200 MW (assuming its being run at full capacity)
And fo such safety critical systems, redundacies are buit in like different powerlines from different power stations and backup gens running on gas/diesel.
That article is very misinformed
 

Mkuu natunza hii comment yako, siku jiwe atakapo dondosha nchi hakika nitakukumbusha hii comment yako,
 
Ni kudedicate line tu kutoka kwny chanzo cha uhakika mfano ubalozi wa marekani hapa Tanzania una dedicated line ya umeme hakunaga blackout sisi si wajinga kukimbilia treni ya umeme pasipo kufikiria swala lenyewe la umeme wa uhakika. Kha!.

So wewe unamwamini bwana yule(jiwe) anaweza kujua kuwa huu mradi ni sahihi kwa nchi ama la? Nikupe mfano mdogo tu, huyo huyo ndiye alijiingiza kwenye korosho na matokeo yake kila mmoja anayajua, sasa hiyo imani uliyonayo juu yake sijui inatoka wapi ili hali kuna reference kibao juu ya maamuzi yake
 

Kwanza ingekuwa vizuri ujue train ya umeme inatumia Umeme kiasi gani then ujue nini kinafanyika pale Umeme unapokatika ndio uje uongee hapa kuliko kuharibu space ya forum bure.
 
Kwanza ingekuwa vizuri ujue train ya umeme inatumia Umeme kiasi gani then ujue nini kinafanyika pale Umeme unapokatika ndio uje uongee hapa kuliko kuharibu space ya forum bure.
Sasa wewe unayejua,si ungekuja na facts ndio tujue basi......
 
Mkuu natunza hii comment yako, siku jiwe atakapo dondosha nchi hakika nitakukumbusha hii comment yako,
Hahaha poa mkubwa ila mambo yakiwa mukide pia usinisahau kaka!!Uje unipe kongole kwa imani yangu ya kisayansi!!! One Love!!!!.
 
Pamoja mkuu
Sana kaka this our country kama una upendo thabiti na hujanunuliwa,huna maslahi yako binafsi na unaitakia mema Tanzania yetu semaaaa,hii ni nchi yetu sote we need to lean forward and not backward!!! We don't need to shift along the curve,we need to push the curve up right (wasomi wa uchumi watanielewa).Moko.
 
Duh jamaa amemchana JPM vinoma, tatizo hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kubishana na hoja zake neno kwa neno. Wote wataishia kulialia kuhusu mabeberu.

Absolutely. Angalia posts zilizotangulia post yako.
 

Much as I try (and would love) to see a lie or a misrepresentation in this article, I fail to see any. Or maybe there's just one point; President Magufuli is not a trained engineer.
 
The president, an engineer by training, is fond of the grandiose???????????
 
Ni kudedicate line tu kutoka kwny chanzo cha uhakika mfano ubalozi wa marekani hapa Tanzania una dedicated line ya umeme hakunaga blackout sisi si wajinga kukimbilia treni ya umeme pasipo kufikiria swala lenyewe la umeme wa uhakika. Kha!.
Hiyo train imekwama porini lini?

Hizi ndio ramli chonganishi
Hivi Unajua hata ni umeme kiasi gani unahitajika kupiga routes za Dar Moro?
 

Sure, but we also need to agree that we have the barrier towards the real achievements of the country, we are not hunting for the unknown though we pretend to
 
Mimi binafsi furaha yangu ni kumuona mzungu anateseka, kwa namna yoyote ile mzungu hajawahi kumsaidia mtu mweusi kiuchumi zaidi ya kumkandamiza na kumuibia.

Akikuona umekomaa kufanya yako basi ni tatizo kwake yeye nani alimpangia kipindi anafanya yake?

Jirani Mkenya mpka sasa anateseka na nchi yake mwenyew kwakutaka kumfurahisha mzungu.

TUPO PAMOJA JPM.
 
I like how the writer signs off... "One day, the only elephant left in the Selous may be a white one.. " If you know you know! Ni hayo tu kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…