stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Dec 12, 2011 #1 hivi humu ndan kuna watu wenye vibur na hasira za karibu? Maana kwa wabish nimekwisha wajua!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Dec 12, 2011 #2 Ya nini, leo tunadeal na mazuri tu. Mshatutoa povu siku nzima
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Dec 12, 2011 #3 Kabla ya kujibu kwanza define mbishi ni mtu gani, na mwenye kibui ni mtu wa aina gani. Maana idea yangu ya mbishi na mwenye kiburi inaweza kuwa tofauti na yako. Mi naweza kuona mwenye kiburi ni yule asiyechangia kitu kabisa, wewe ukaona yule anayejibu kwa ujuaji sana kuwa ndiye mbishi na mwenye kiburi.
Kabla ya kujibu kwanza define mbishi ni mtu gani, na mwenye kibui ni mtu wa aina gani. Maana idea yangu ya mbishi na mwenye kiburi inaweza kuwa tofauti na yako. Mi naweza kuona mwenye kiburi ni yule asiyechangia kitu kabisa, wewe ukaona yule anayejibu kwa ujuaji sana kuwa ndiye mbishi na mwenye kiburi.
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Dec 13, 2011 #4 Hamjalala tu?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,453 Reaction score 111,795 Dec 13, 2011 #5 Kabakabana said: Hamjalala tu? Click to expand... Wewe unatype huku umelala? nyumba anayoishi mwana JF hasa kwa Bongo wezi wote wnaiogopa, wanajuwa kabisa pale jamaa anakesha kwenye mtandao na kulala ni alfajili tayari watu wanaodamka wanakuwa wako mtaani.
Kabakabana said: Hamjalala tu? Click to expand... Wewe unatype huku umelala? nyumba anayoishi mwana JF hasa kwa Bongo wezi wote wnaiogopa, wanajuwa kabisa pale jamaa anakesha kwenye mtandao na kulala ni alfajili tayari watu wanaodamka wanakuwa wako mtaani.