Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

Pole sana mkuu, hii tabia hawakuwa nayo kabisa ila naona wameiga kutoka kwa hawa online loans( x-pesa), (L-pesa) na n.k


. Kama unashida kubwa Ebu jaribu (kwa mwanza na kahama, ila shy town kule hamna ofisi hizi ) finca au mabena,, πŸ™‚πŸ™‚
 
Kumaliza deni haifuti record chafu ya kwamba wewe si mlipaji mpaka nguvu itumike. Kama unategemea kuja kukopa hasa sisi vijana ni muhimu ku clear madeni kwa wakati.
 
Umesha kopa sana kwenye hizi App mzee hiyo ndio changamoto kk km ulisha kopa na NIDA yako sahau kupata , Saiz detail zako kila app wanazo km unadeni huko lipa tuu
Hapana mkuu Wala sijui hata namna wanavyokopa hizo app. Ukweli naogopa madeni ya kuweka dhamana. Hapa nakopa Kwa kupitia salary yangu tu basi.
 
Ahsantee sana mkuu ila nilkuwa nahitaji kukopa Kwa kupitia simu bank...pia nakopa Kwa kukatwa Basic salary yangu Kwa makato ya 13% ndani ya miezi6 au hata mwaka.

Msg Hadi Sasa nimeshafuta maana sikujua kama zitahijika.
 
Kwahiyo nilienda finca watanielewa? Ila Mimi nakopa Crdb tu kupitia mshahara wangu.
 
KumbeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…