Wabobezi naomba kujua jinsi Russia ilivyoathitika na vikwazo baada ya kuivamia Ukraine

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Mimi sio mtaalam wa mambo ya mataifa. Lakini ilivuma sana kuwa Russia imewekewa vikwazo ilivyoivamia Ukraine.

Kwanza ulaya ilisapoti sananvikwazo na marekani wakapilia msumari.

Hadi kufikia sasa Russia anahali gani wakuu msaada wenu
 
1. Inflation imepaa hadi kufikia 9.4%

Russian annual inflation reached 9.5% in 2024, driven by high military and national security spending, which is set to account for 41% of total state budget spending in 2025.

2. Ukuaji wa uchumi umeanguka mpaka kufikia 1.3%
GDP growth3.6% (2023) 4.1% (2024) 1.3% (2025

3. Thamani ya makampuni ya umma imekaribia kufa kabisa. Kampuni kubwa ya gas ya Serikali, Gazprom, imepoteza kiwango chakecha thamani kwa 75%.
Russian state-owned companies has collapsed even more, with Gazprom losing 75% of its value.

4. Mapato ya kodi ya Serikali yaliyokuwa yanatokana na ywekezaji wa kigeni, yameanguka kwa 75%.
The tax income Russian government receives from foreign companies also decreased by 75%.

5. Mauzo ya gas na mafuta yamea guka kwa 50%.
Energy export revenues dropped by 50%.

6. Baadhi ya sector za uchumi za Urusi zimeanguka kwa 90%.
Numerous sectors of Russian economy collapsed by as much as 90%,

Ningependa kujua vyanzo vya taarifa yako hii kwa kujifunza zaidi
 
Baada ya Russia kuvamia Ukraine mnamo Februari 2022, mataifa mengi ya Magharibi, ikiwa ni pamoja na Umoja wa Ulaya, Marekani, na Canada, yaliweka vikwazo vikali dhidi ya Russia kwa lengo la kumshinikiza aache uingiliaji wake wa kijeshi. Vikwazo hivi vilikuwa na madhara makubwa kwa uchumi wa Russia, na zilijitokeza athari kubwa katika sekta mbalimbali za uchumi wa nchi hiyo kama athari za vikwazo:

1. Vikwazo vya Kifedha na Benki

  • Kupigwa Marufuku kwa Benki za Russia Kutumia SWIFT:SWIFT ni mfumo wa kimataifa wa malipo ambao hutumika kwa ajili ya uhamishaji wa fedha baina ya benki za kimataifa. Baada ya Russia kuvamia Ukraine, baadhi ya benki kuu za Russia ziliondolewa kutoka kwenye mfumo huu. Hii iliathiri uwezo wa Russia kufanya biashara na nchi nyingine kwa urahisi, kwani ilishindwa kutuma au kupokea malipo kutoka kwa mataifa mengine. Matokeo yake, biashara za kimataifa zilikuwa ngumu na za gharama kubwa.
  • Vikwazo kwa Benki na Taasisi za Kifedha:Benki nyingi kubwa za Russia, ikiwa ni pamoja na benki za serikali, zilifungiwa kufanya biashara na taasisi za kifedha za kimataifa. Vikwazo hivi vililenga kubana uwezo wa serikali ya Russia kupata mikopo au kufanya biashara ya kimataifa. Benki za Russia zilipata shida kuendelea kufanya shughuli zao za kifedha kwa kuwa zilishindwa kupata rasilimali kutoka kwa vyanzo vya kimataifa. Hali hii ilipunguza ufanisi wa sekta ya kifedha na kuongeza hali ya kutokuwa na uhakika katika uchumi wa Russia.

2. Vikwazo kwa Sekta ya Nishati

  • Uhamasishaji wa Vikwazo kwa Mafuta na Gesi:Russia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta na gesi asilia, na vikwazo vililenga moja kwa moja biashara ya nishati. Umoja wa Ulaya, Marekani, na baadhi ya mataifa mengine walizuia uuzaji wa mafuta na gesi kutoka Russia, na hii ilisababisha kupungua kwa mapato ya serikali ya Russia. Hata hivyo, Russia ilijaribu kupata masoko mapya kwa kuuza nishati yake kwa nchi kama China, India, na baadhi ya nchi za Asia.
  • Mabadiliko ya Mipango ya Uuzaji wa Nishati:Russia ililazimika kutafuta masoko mbadala kwa nishati yake, lakini kwa sababu ya vikwazo, mabadiliko haya yalikuwa magumu. Kupungua kwa usafirishaji wa gesi na mafuta kwa mataifa ya Ulaya kuliathiri sana mapato ya serikali ya Russia, na kuongeza shinikizo kwa uchumi wake. Ingawa Russia ilijitahidi kupunguza athari za vikwazo kwa kuuza nishati kwa bei pungufu, bado ilikumbana na changamoto kubwa.

3. Vikwazo kwa Biashara na Teknolojia

  • Ukosefu wa Vifaa vya Teknolojia na Vifaa vya Viwanda:Nchi za Magharibi zilizuia kuuza bidhaa za teknolojia za kisasa kwa Russia, ikiwa ni pamoja na vifaa vya kielektroniki, mashine, na vifaa vya viwanda. Vikwazo hivi vilimzuia Russia kupata vifaa vya kisasa na teknolojia muhimu kwa ajili ya maendeleo ya viwanda vyake, kama vile sekta ya magari, anga, na vifaa vya kielektroniki. Hii ilisababisha upungufu mkubwa wa bidhaa muhimu katika soko la ndani, na kuongeza ugumu katika uzalishaji.
  • Athari kwa Sekta za Teknolojia na Uzalishaji:Sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano nchini Russia ilikumbwa na changamoto kubwa, kwani makampuni ya kimataifa kama Google, Apple, na Microsoft walijiondoa au kupunguza shughuli zao nchini Russia. Hali hii iliathiri kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa huduma muhimu za mtandao na vifaa vya teknolojia. Zaidi ya hayo, baadhi ya kampuni za ndani za Russia zililazimika kuanzisha uzalishaji wa vifaa vya ndani, lakini walikosa vifaa vya kisasa na malighafi muhimu kutoka nchi za Magharibi.

4. Athari kwa Sekta ya Viwanda

  • Upungufu wa Vifaa na Malighafi:Vikwazo vililazimisha Russia kubadilisha mbinu za uzalishaji na kutafuta vyanzo vya malighafi na vifaa vingine kutoka kwa nchi zisizo za Magharibi. Hata hivyo, ilikosa baadhi ya malighafi muhimu, kama vile nishati, madini, na vifaa vya ujenzi. Sekta ya viwanda, kama vile ile ya magari na vifaa vya anga, ilikumbwa na upungufu wa sehemu muhimu na teknolojia za kisasa, na hivyo kudumaza uzalishaji.

5. Kupungua kwa Uwekezaji wa Kigeni

  • Makampuni ya Kimataifa kuondoka Russia:Wengi wa wawekezaji wa kimataifa walijiondoa kutoka Russia kutokana na vikwazo na hali ya kisiasa ya nchi hiyo. Kampuni kubwa kama McDonald's, Coca-Cola, na Starbucks zilijiondoa au kusitisha shughuli zao nchini Russia. Hii ilisababisha upungufu wa ajira na kuporomoka kwa sekta ya huduma na biashara.
  • Athari kwa Uchumi wa Ndani:Kupungua kwa uwekezaji wa kigeni kulileta matatizo makubwa kwa uchumi wa ndani, kwani nchi ya Russia ilikosa mitaji ya maendeleo na teknolojia mpya ambazo zilikuwa muhimu kwa ukuaji wa uchumi. Hali hii ilisababisha kupungua kwa uzalishaji na maendeleo ya miundombinu.

6. Athari kwa Soko la Kazi na Umasikini

  • Kukosekana kwa Ajira:Uchumi wa Russia ulianza kuporomoka kutokana na vikwazo, na mamilioni ya watu walikosa ajira au walilazimika kukubaliana na ajira zisizo na uhakika. Sekta za huduma, utalii, na viwanda zilikuwa miongoni mwa sekta zilizokumbwa na upungufu mkubwa wa ajira.
  • Ongezeko la Umasikini na kuporomoka kwa uchumi, idadi ya watu maskini nchini Russia iliongezeka kwa kasi. Hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ilizidi kuwa ngumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, hasa bei za bidhaa za kila siku na huduma muhimu.

7. Mabadiliko katika Sera za Biashara na Uchumi wa Ndani

  • Uhamasishaji wa Uzalishaji wa Ndani:Russia ililazimika kuongeza uzalishaji wa ndani ili kufidia upungufu wa bidhaa na malighafi zinazohitajika. Hata hivyo, ilikosa baadhi ya teknolojia za kisasa na vifaa muhimu kutoka kwa nchi za Magharibi, jambo ambalo lilibana uwezo wake wa kuzalisha bidhaa za viwango vya juu.
  • Mabadiliko ya Biashara na Soko la Ndani:Russia ilijaribu kufanya biashara na nchi zisizo za Magharibi kama vile China na India, ambazo ziliendelea kufanya biashara na Russia na kusaidia kupunguza athari za vikwazo. Hata hivyo, ingawa Russia iliweza kufanikiwa kwa kiasi fulani katika kutafuta masoko mapya, vikwazo viliendelea kuwa na madhara makubwa kwa uchumi wake.
 
images.jpeg
 
1. Inflation imepaa hadi kufikia 9.4%

Russian annual inflation reached 9.5% in 2024, driven by high military and national security spending, which is set to account for 41% of total state budget spending in 2025.

2. Ukuaji wa uchumi umeanguka mpaka kufikia 1.3%
GDP growth3.6% (2023) 4.1% (2024) 1.3% (2025

3. Thamani ya makampuni ya umma imekaribia kufa kabisa. Kampuni kubwa ya gas ya Serikali, Gazprom, imepoteza kiwango chakecha thamani kwa 75%.
Russian state-owned companies has collapsed even more, with Gazprom losing 75% of its value.

4. Mapato ya kodi ya Serikali yaliyokuwa yanatokana na ywekezaji wa kigeni, yameanguka kwa 75%.
The tax income Russian government receives from foreign companies also decreased by 75%.

5. Mauzo ya gas na mafuta yamea guka kwa 50%.
Energy export revenues dropped by 50%.

6. Baadhi ya sector za uchumi za Urusi zimeanguka kwa 90%.
Numerous sectors of Russian economy collapsed by as much as 90%,

Mwaka 2025 haujaisha, hizo ni Estimation,

Wali estimate 2023, 2024 etc uchumi utaanguka na haukuanguka na sasa hivi 2025 wana estimate uchumi mdogo ila hautakua hivyo wata revise figure mwisho wa mwaka.

Halafu unaongea na watu wazima humu hebu tuelezee mafuta yashuke mpaka 50% na Sector nyengine hadi 90% inakuwaje sector muhimu zishuke halafu GDP ipande? Nina uhakika 100% hakuna anayejua Deals za Urusi na India/China/Iran wanavyouziana.

Hizo habari tu vijiwe vya kahawa.
 
1. Inflation imepaa hadi kufikia 9.4%

Russian annual inflation reached 9.5% in 2024, driven by high military and national security spending, which is set to account for 41% of total state budget spending in 2025.

2. Ukuaji wa uchumi umeanguka mpaka kufikia 1.3%
GDP growth3.6% (2023) 4.1% (2024) 1.3% (2025

3. Thamani ya makampuni ya umma imekaribia kufa kabisa. Kampuni kubwa ya gas ya Serikali, Gazprom, imepoteza kiwango chakecha thamani kwa 75%.
Russian state-owned companies has collapsed even more, with Gazprom losing 75% of its value.

4. Mapato ya kodi ya Serikali yaliyokuwa yanatokana na ywekezaji wa kigeni, yameanguka kwa 75%.
The tax income Russian government receives from foreign companies also decreased by 75%.

5. Mauzo ya gas na mafuta yamea guka kwa 50%.
Energy export revenues dropped by 50%.

6. Baadhi ya sector za uchumi za Urusi zimeanguka kwa 90%.
Numerous sectors of Russian economy collapsed by as much as 90%,

Bila shaka una uelewa mdogo sana kwenye masuala haya ya uchumi.

Kwenye uchumi kuna:
1. Fall of economic growth. Yawezekana uchumi ulikuwa unakua kwa 8% ukaanguka mpaka 4%. Economic growth rate imeanguka kwa 50%, lakini bado kuna growth. GDP bado itaongezeka.

2. Kuna negative growth. Hii ni extreme, kwa sababu GDP inashuka, na hii hutokea mara chache sana, na mara nyingi haitokei, labda kuwale na janga kubwa.

3. Kuna anguko la mauzo ya kisekta. Haya yanaweza kupunguza ukuuaji wa uchumi, hasa pale uchumi wa nchi unapotegemea sana sekta moja. Lakini uchumi wa nchi ambao ni complex, anguko la mauzo ya sekta moja, hayawezi kusababisha negative economic growth rate.
 
Naona umeji quote mwenyewe,

Mafuta na gesi ina changia Takriban asilimia 15-20 ya pato la Urusi, yakipungua kwa asilimia 50 ina maana asilimia 7-10 ya Gdp nayo inashuka, Gdp growth ingekua Negative.

According to Reuters Pato la mafuta na gesi la Urusi limeongezeka kwa asilimia 26

Unaweza na wewe ukaweka source inayoaminika inayo Onesha Mauzo ya mafuta yameshuka kwa asilimia 50%?
 
Mimi sio mtaalam wa mambo ya mataifa. Lakini ilivuma sana kuwa Russia imewekewa vikwazo ilivyoivamia Ukraine.

Kwanza ulaya ilisapoti sananvikwazo na marekani wakapilia msumari.

Hadi kufikia sasa Russia anahali gani wakuu msaada wenu
"..athitika" maana yake nini?
 
Lkn kulikuwa na hadi picha zikionesha maduka yamefungwa
Ni marufuku mtu yeyote chini ya jua kutoa takwimu za mdororo au mkwamo wa uchumi wa Urusi uliotokana na vikwazo vya kiuchumi wala kutoa data ya idadi ya wanajeshi waliouwawa vitani. KAMA NI MWANDISHI WA HABARI UTAFATWA POPOTE ULIPO NA POLONIUM ITAKUHUSU
 
1. Inflation imepaa hadi kufikia 9.4%

Russian annual inflation reached 9.5% in 2024, driven by high military and national security spending, which is set to account for 41% of total state budget spending in 2025.

2. Ukuaji wa uchumi umeanguka mpaka kufikia 1.3%
GDP growth3.6% (2023) 4.1% (2024) 1.3% (2025

3. Thamani ya makampuni ya umma imekaribia kufa kabisa. Kampuni kubwa ya gas ya Serikali, Gazprom, imepoteza kiwango chakecha thamani kwa 75%.
Russian state-owned companies has collapsed even more, with Gazprom losing 75% of its value.

4. Mapato ya kodi ya Serikali yaliyokuwa yanatokana na ywekezaji wa kigeni, yameanguka kwa 75%.
The tax income Russian government receives from foreign companies also decreased by 75%.

5. Mauzo ya gas na mafuta yamea guka kwa 50%.
Energy export revenues dropped by 50%.

6. Baadhi ya sector za uchumi za Urusi zimeanguka kwa 90%.
Numerous sectors of Russian economy collapsed by as much as 90%,

Hii ni kwa mujibu wa chanzo gani?
 
Nachojua mimi. Nchi za ulaya Ambazo zimeiwekea Russia vikwazo ndio waathirika nambo moja ya hivyo vikwazo. German ndio muathirika zaidi wakifatiwa na viherehere wengine kina uholanzi, France, Italian na wengine...
 
Ni marufuku mtu yeyote chini ya jua kutoa takwimu za mdororo au mkwamo wa uchumi wa Urusi uliotokana na vikwazo vya kiuchumi wala kutoa data ya idadi ya wanajeshi waliouwawa vitani. KAMA NI MWANDISHI WA HABARI UTAFATWA POPOTE ULIPO NA POLONIUM ITAKUHUSU
The same to Ukraine huruhusiwi kutoa taarifa
 
Abramovich mwenye uraia wa Russia aliwahi kuwa bosi wa Chelsea, alipoiuza team kwa Trilion 7 walimfungia account, ni kwasababu ya vikwazo
 
Back
Top Bottom