Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Lkn kulikuwa na hadi picha zikionesha maduka yamefungwaTulioko Moscow mambo ni shwari kabisa huko Africa uwa mnadanganywa over
| GDP growth | 3.6% (2023) 4.1% (2024) 1.3% (2025 |
Ningependa kujua vyanzo vya taarifa yako hii kwa kujifunza zaidi1. Inflation imepaa hadi kufikia 9.4%
Russian annual inflation reached 9.5% in 2024, driven by high military and national security spending, which is set to account for 41% of total state budget spending in 2025.
2. Ukuaji wa uchumi umeanguka mpaka kufikia 1.3%
GDP growth 3.6% (2023) 4.1% (2024) 1.3% (2025
3. Thamani ya makampuni ya umma imekaribia kufa kabisa. Kampuni kubwa ya gas ya Serikali, Gazprom, imepoteza kiwango chakecha thamani kwa 75%.
Russian state-owned companies has collapsed even more, with Gazprom losing 75% of its value.
4. Mapato ya kodi ya Serikali yaliyokuwa yanatokana na ywekezaji wa kigeni, yameanguka kwa 75%.
The tax income Russian government receives from foreign companies also decreased by 75%.
5. Mauzo ya gas na mafuta yamea guka kwa 50%.
Energy export revenues dropped by 50%.
6. Baadhi ya sector za uchumi za Urusi zimeanguka kwa 90%.
Numerous sectors of Russian economy collapsed by as much as 90%,
Mwaka 2025 haujaisha, hizo ni Estimation,1. Inflation imepaa hadi kufikia 9.4%

1. Inflation imepaa hadi kufikia 9.4%

Naona umeji quote mwenyewe,Bila shaka una uelewa mdogo sana kwenye masuala haya ya uchumi.
Kwenye uchumi kuna:
1. Fall of economic growth. Yawezekana uchumi ulikuwa unakua kwa 8% ukaanguka mpaka 4%. Economic growth rate imeanguka kwa 50%, lakini bado kuna growth. GDP bado itaongezeka.
2. Kuna negative growth. Hii ni extreme, kwa sababu GDP inashuka, na hii hutokea mara chache sana, na mara nyingi haitokei, labda kuwale na janga kubwa.
3. Kuna anguko la mauzo ya kisekta. Haya yanaweza kupunguza ukuuaji wa uchumi, hasa pale uchumi wa nchi unapotegemea sana sekta moja. Lakini uchumi wa nchi ambao ni complex, anguko la mauzo ya sekta moja, hayawezi kusababisha negative economic growth rate.
"..athitika" maana yake nini?Mimi sio mtaalam wa mambo ya mataifa. Lakini ilivuma sana kuwa Russia imewekewa vikwazo ilivyoivamia Ukraine.
Kwanza ulaya ilisapoti sananvikwazo na marekani wakapilia msumari.
Hadi kufikia sasa Russia anahali gani wakuu msaada wenu
Ni marufuku mtu yeyote chini ya jua kutoa takwimu za mdororo au mkwamo wa uchumi wa Urusi uliotokana na vikwazo vya kiuchumi wala kutoa data ya idadi ya wanajeshi waliouwawa vitani. KAMA NI MWANDISHI WA HABARI UTAFATWA POPOTE ULIPO NA POLONIUM ITAKUHUSULkn kulikuwa na hadi picha zikionesha maduka yamefungwa
Hii ni kwa mujibu wa chanzo gani?1. Inflation imepaa hadi kufikia 9.4%
Russian annual inflation reached 9.5% in 2024, driven by high military and national security spending, which is set to account for 41% of total state budget spending in 2025.
2. Ukuaji wa uchumi umeanguka mpaka kufikia 1.3%
GDP growth 3.6% (2023) 4.1% (2024) 1.3% (2025
3. Thamani ya makampuni ya umma imekaribia kufa kabisa. Kampuni kubwa ya gas ya Serikali, Gazprom, imepoteza kiwango chakecha thamani kwa 75%.
Russian state-owned companies has collapsed even more, with Gazprom losing 75% of its value.
4. Mapato ya kodi ya Serikali yaliyokuwa yanatokana na ywekezaji wa kigeni, yameanguka kwa 75%.
The tax income Russian government receives from foreign companies also decreased by 75%.
5. Mauzo ya gas na mafuta yamea guka kwa 50%.
Energy export revenues dropped by 50%.
6. Baadhi ya sector za uchumi za Urusi zimeanguka kwa 90%.
Numerous sectors of Russian economy collapsed by as much as 90%,
The same to Ukraine huruhusiwi kutoa taarifaNi marufuku mtu yeyote chini ya jua kutoa takwimu za mdororo au mkwamo wa uchumi wa Urusi uliotokana na vikwazo vya kiuchumi wala kutoa data ya idadi ya wanajeshi waliouwawa vitani. KAMA NI MWANDISHI WA HABARI UTAFATWA POPOTE ULIPO NA POLONIUM ITAKUHUSU