Wabobezi wa tendo la ndoa na hata lile la uzinifu hii nadharia ina ukweli?

Wabobezi wa tendo la ndoa na hata lile la uzinifu hii nadharia ina ukweli?

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Kwamba....

Ukiona Siku yoyote ile unafanya Mapenzi (Unanyiriana) ama na Mkeo au Mpenzi (Demu) wako na ukaona hiyo Siku Ufanisi wake na Bidii yake Kitandani imeongezeka maradufu basi hapo tambua Jambo moja wapo kati ya haya nitakayoyaorodhesha hapa chini...

1. Anakuzuga kwakuwa ametoka Kufanywa (Kunyiriwa)

2. Anakuzuga ili akuchoshe na akuandae Kisaikolojia ili Siku chache zijazo akafanywe ( akanyiriwe ) na Mwingine

Nasubiri Majibu yenu ya haraka sana Wabobezi kwani nilipoambiwa tu hili Jambo Presha yangu sasa imepanda na Moyo unateseka.
 
Huuu ni uongo Akitoka kusex huko hachoki ??

Ukipewa vizuri ima umependwa au unadanganywa unogowe uchunwe
 
Dah yaani ni sawa na kusema ukiona simu imekuwa na kasi sana ujue bundel linakaribia kuisha.

Why tunakuwa negative tu,kuna wakati mtu anakuwa kwenye mood poa wala si kingine.
 
Back
Top Bottom