Wabongo bana, yaani kwenye msiba nyinyi huwa mnawaza kitoweo?

Si ajabu si hata kinyesi ni mlo kule eliakeem joto la jiwe njooni na failed state, njaa na kibela

Halafu wewe mtoto usinizoee. usirudie kuniita kwenye mambo ya kinyonge kama haya.
Isitoshe nani kakwambia hapo ni bongo. Huoni hapo wanaendesha magari upande wa kulia. Unaacha kwenda kupanda maparachichi, unakalia umbea tu. Pimbaf kabisa.
 
Nenda ukale mbwa Wewe.

Tanzania hatuna wanaume wenye sura za mirungi hiyo ni Kenya hata mazingira yanaonesha.
Unamaanisha sura kama ya Jiwe? Alafu hao jamaa wafupi wafupi mambilikimo huwa hawapatikani Kenya. Hio ndio avarage height ya mtz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…