eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Si ajabu si hata kinyesi ni mlo kule eliakeem joto la jiwe njooni na failed state, njaa na kibela
Halafu wewe mtoto usinizoee. usirudie kuniita kwenye mambo ya kinyonge kama haya.
Isitoshe nani kakwambia hapo ni bongo. Huoni hapo wanaendesha magari upande wa kulia. Unaacha kwenda kupanda maparachichi, unakalia umbea tu. Pimbaf kabisa.