MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana wanakodi magari na kukatiza nayo kwenye mbuga zote. Wenzetu wengi ukiwauliza ulipo mlima Kilimajaro hawana habari, mfano hai huyu jamaa maarufu (Mwijaku) kwenye hii video, wameganda pale Dara salama siku zote.
Pia wengi wanaponda jitihada za mama Samia kwenye ile video yake ya kujaribu kunadi vitutio vya kitalii
https://www.jamiiforums.com/data/video/4931/4931683-e0e2b3cb6ae0fb03d7bbe159b9745d6f.mp4
Pia wengi wanaponda jitihada za mama Samia kwenye ile video yake ya kujaribu kunadi vitutio vya kitalii
https://www.jamiiforums.com/data/video/4931/4931683-e0e2b3cb6ae0fb03d7bbe159b9745d6f.mp4