Wabongo hizi chuki zinasababishwa na nini?

Ndo maana me bongo sihami hata kidogo
 
Ni tabia ya masikini kupenda kujifariji.
 

Hahaaa, wabantu ndivyo tulivyo jitahidi tu utuzoee!
 
Nachukia sana hii tabia ya kuapangiana maisha khaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…