Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
[emoji3]Kwa hiyo umechagua upande wa IPhone na dompo ili ueleweke kwa urahs au sio..
Mkuu usisite kuntupia wawili watatu maporomoko ya PM yakianza..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3]Kwa hiyo umechagua upande wa IPhone na dompo ili ueleweke kwa urahs au sio..
Mkuu usisite kuntupia wawili watatu maporomoko ya PM yakianza..
Hashim umemsahau maksudi au ni dhalau?? Wewe hujui wali na kuku utamu wake 😁Uzi gani hauna Lissu, Membe au JPM?
Mkuu kweli nimepotoka, Hashimu Rungwe anachukua nchi saa tatu na nusu asubuhi ya tarehe 28 OctobaHashim umemsahau maksudi au ni dhalau?? Wewe hujui wali na kuku utamu wake 😁
Utakuta umeenda ofisi flani kiofisi umekaa zako na kazi zako simu imeita umetoa iPhone 11 yako umeongea umemaliza unaskia kamjadala kaajabu watu wanaongeleshana “ yaani mimi nitoe milioni yangu ninunue simu? Kweli wabongo wanapenda matumizi unakuta mtu ana simu ya millioni tatu wakati maisha yake kama ya kwangu tu heheee” mwingine utamsikia “ wee mimi TECNO yangu nimenunua laki na nusu na ina miaka mitatu inapiga kazi yaani nitoe milioni ninunue simu hehehe”
Ukute uko zako kitaa kwenye ki glosari kuna majirani kadhaa wapo kivyao wanakunywa K-Vant umeagiza dompo lako basi utaskia vi mjadala vya ovyo kweli “unajua mimi hizi pombe tamu tamu siwezi kunywa kwanza zina sukari, alafu ogopa sana vitu vyenye rangi rangi sana sana hizi wine siyo nzuri kiafya” yaani ilimradi tuu wajiridhishe kuwa wao wako vizuri kimaamuzi kuliko wewe sijui hii tabia inasababishwa na nini wabongo kwanini msi mind mambo yenu bila kijilinganisha na wenzenu?