Kwani nani asiyependa kila kitu kizuri kiwe kwake, acheni kulala fofofo na kufikirii dunia inawapenda na kuwahurumia, mnafaa mchangamke.
Tatizo mna wivu mpaka mnashindwa kujizuia. Kila zuri mkilisikia au kuliona Tanzania basi mnaumia sana kwanini isiwe Kenya hiyo roho ya kwanini haifai ndugu zangu.
Umeipiku ule mradi wenu wa kula AlbinoMradi wenu wa njaa unaendeleaje?
Hiyo nchi ni jinsia KeUliposema KE ulikuwa una maanisha nn kwanza..
Ndugu mtoa mada.
Alafu nitoe mchango wangu.
Asante
Mradi wenu wa ugaidi bado upo vema?Umeipiku ule mradi wenu wa kula Albino
Mradi wenu wa ugaidi bado upo vema?
Endelea kuokota takataka za 1963 kwenye Internet.
If you want to compare Tanzania and Kenya Go to this websiteMambo ni kangaja huenda yakaja , tumekuwa kwenye hii forum kwa muda sasa.
Hii forum imekuwa sana sana jukwaa ya kulinganisha KE na TZ. hata ukiangalia thread ambazo zimenoga sana unapata ni zile ambazo zinalinganisha mambo kadha wa kadha kama Nairobi na Dar , mara Air Tanzania na KE airways , JKIA na JNIA na kadhalika.
Lakini sisi wakenya kwenye hii forum tumeona si haki kuendelea kumpiga aliye chini muda huu wote.
Kwa hivyo tumeamua tutawapa WaBongo ndugu zetu wachanga fulsa ya kuwa mbele kiasi ili mjadala uweze kupata joto. Si upande mmoja kucharazwa tu kila siku.
Isitoshe , uchumi wa Kenya na Tanzania sasa una gap kubwa sana, gap ya USD 40 Billion sio mchezo. Yani saa hizi UG na TZ zikiungana kuwa nchi mmoja na iitwe Tanzania bado TZ itakuwa nyuma.
Kwa hivyo kutoka sasa , tutakuwa tunalinganisha
1.Mombasa VS DAR ,....Nairobi iko ligi ingine sasa - its a Eastern Africa regional financial, cultural and intellectual center,
2.Moi International Airport Mombasa VS Julius Nyerere International Airport - it's not fair to compare JKIA na JNIA anymore.
3.Air Tanzania Vs Rwanda Air ama hata FLY540
4.Uchumi wa Tanzania VS Uchumi wa Uganda/Ghana etc
And on a lighter note in the near future msipochunga itakuwa - :
Tanzania Navy VS Kenya coast guard.
Tanzania Airforce VS Kenya Police Airwing.
Tumeonelea itakuwa bora hivi at least muwe mbele kiasi ,AND STOP BEING PETTY ON EVERYTHING
Mradi wa matatu kugoma unaendeleaje?Ipo tuu inatoana jasho na lenu la kuwauwa watoto wachanga kwa uchawi
Ngojeni wachina waichukue mombasa portUnashangaza sana wewe JF hapa walitenga sehemu tuwe tuna post mambo ya kwetu Kenya, ila kila tunachokiweka kizuri hamuishi kutiririka matusi, chuki na kudhihirisha mlivyo na roho nyeusi za kichawi.
Anazungumzia ile jinsia pendwa "kiKE"Uliposema KE ulikuwa una maanisha nn kwanza..
Ndugu mtoa mada.
Alafu nitoe mchango wangu.
Asante
Unashangaza sana wewe JF hapa walitenga sehemu tuwe tuna post mambo ya kwetu Kenya, ila kila tunachokiweka kizuri hamuishi kutiririka matusi, chuki na kudhihirisha mlivyo na roho nyeusi za kichawi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hv Yale mawingu yaliyokwama bongo yameshafika huko Kenya?