Mambo ni kangaja huenda yakaja , tumekuwa kwenye hii forum kwa muda sasa.
Hii forum imekuwa sana sana jukwaa ya kulinganisha KE na TZ. hata ukiangalia thread ambazo zimenoga sana unapata ni zile ambazo zinalinganisha mambo kadha wa kadha kama Nairobi na Dar , mara Air Tanzania na KE airways , JKIA na JNIA na kadhalika.
Lakini sisi wakenya kwenye hii forum tumeona si haki kuendelea kumpiga aliye chini muda huu wote.
Kwa hivyo tumeamua tutawapa WaBongo ndugu zetu wachanga fulsa ya kuwa mbele kiasi ili mjadala uweze kupata joto. Si upande mmoja kucharazwa tu kila siku.
Isitoshe , uchumi wa Kenya na Tanzania sasa una gap kubwa sana, gap ya USD 40 Billion sio mchezo. Yani saa hizi UG na TZ zikiungana kuwa nchi mmoja na iitwe Tanzania bado TZ itakuwa nyuma.
Kwa hivyo kutoka sasa , tutakuwa tunalinganisha
1.Mombasa VS DAR ,....Nairobi iko ligi ingine sasa - its a Eastern Africa regional financial, cultural and intellectual center,
2.Moi International Airport Mombasa VS Julius Nyerere International Airport - it's not fair to compare JKIA na JNIA anymore.
3.Air Tanzania Vs Rwanda Air ama hata FLY540
4.Uchumi wa Tanzania VS Uchumi wa Uganda/Ghana etc
And on a lighter note in the near future msipochunga itakuwa - :
Tanzania Navy VS Kenya coast guard.
Tanzania Airforce VS Kenya Police Airwing.
Tumeonelea itakuwa bora hivi at least muwe mbele kiasi ,AND STOP BEING PETTY ON EVERYTHING