Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Nimekuona group la Raha Tupu mkuu
ππππHata humo utakuja kukutana na watu hata ambao unawahishimu
Jamaa yangu alikutana na baba mdogo kwenye group moja
TunaishiSahizi ukionekana humo unaonekana na wewe mtafuta malaya..
Tanzania hakuna social media ambayo raia hawajaigeuza mtandao wa ngono. Infact faida kubwa wanayopata wabongo kutoka kwenye social media ni ngono na wengi wanajua ni kwa ajili ya ngono.Telegram ni mtandao wa ngono
Mawazo ya ngono yanapunguza uwezo wa kufikiriTanzania hakuna social media ambayo raia hawajaigeuza mtandao wa ngono. Infact faida kubwa wanayopata wabongo kutoka kwenye social media ni ngono na wengi wanajua ni kwa ajili ya ngono.
Hayo ya biashara yotee nimejiunga
Ni private group mkuu hahHahahaNasubiria jina la group hapa make Kuna Wi Fi ya kanisa nimwagike
Fundiiiiiiii πππππunaonekana mtafuta malaya au mtafuta sure odds