Wabongo mmeifanya Telegram ionekane ya kihuni hata kwa watu wastaarabu

Wabongo mmeifanya Telegram ionekane ya kihuni hata kwa watu wastaarabu

Hakuna mtandao usiotumiwa kwa umalaya duniani sio Tanzania tu, sema Telegram inapendwa sana kwa ajili ya magroup ya chachandu na wauza K kibongobongo.

Hata watasha wapo wengi sana wanatumia sana Telegram kwa ajili ya hookups, webcam sex chat
 
Back
Top Bottom