Wabongo mmeifanya Telegram ionekane ya kihuni hata kwa watu wastaarabu

Hakuna mtandao usiotumiwa kwa umalaya duniani sio Tanzania tu, sema Telegram inapendwa sana kwa ajili ya magroup ya chachandu na wauza K kibongobongo.

Hata watasha wapo wengi sana wanatumia sana Telegram kwa ajili ya hookups, webcam sex chat
 
Siku zote unapata kile unachokitafuta! Ila telegram ni mtandao bora kabisa kucompare na WhatsApp, mimi kwangu ni mtandao wa kazi, mtu akija kunichatisha tele nabaki namshangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…