Wabongo mnaivaa hii jezi kwa wingi, nini siri yake?

Secret association..!?🤷🤷😇🤷
Usiige kila kitu.
Wazee wa kubet Palmeiras ilimpa kibunda akaenda kununua na Jezi kabisa kuna wale wazee wa Flamengo ligi za Brazil Chile Argentina huko vururuvururu hawanaga gemu za Mchana gemu zao ni usiku kuanzia saa 5 kuendelea na siku akipigwa mtu anapigwa km ngoma
 
Crefisa na wefox zimeuza sana huu msimu
Chelsea Ile kama mayai nayo sio poa
 
Ndio naiona Leo ni timu gani?
Update yangu mwenyewe muda huu nimeshuka kwenye pantoni nadhani watu kama 10 wameiva nilkuwa muhimbili pia nimeona watu wengi sana.. na jana nilisehemu napata moja mbili aisee ni hatari inavalika sana.
Alafu kwakuiona niyakawaida sana haina hata mvuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…