Teh teh teh! Kwamba masikini wamezoea matatizo na kufanya ni sehemu ya maisha yao ama?Mkuu hiyo ni kweli lakini kwa Tanzania tu,
Nchi tajiri watu maskini na wenye matatizo ndio wanaonenepeana.
Duh. Hilo nalo nenosio shida zinatufanya tunenepe? Maana hatuli chakula bora, tunakula bora chakula....
hilo ndo tatizo, unafanya mazoezi halafu unaenda kubugia nusu kilo ya ugali, nyamachoma na mabeer , unategemea kupunguza unene kweli?
BT za asubuhi mkubwa ?
Ukipita hapa nakwambia fungua inbox yako una Pm
BADILI TABIA, nakula kwa raha zangu bhana. Kitu unakula hadi ukilala kwa tumbo unakuwa na shape ya meli
BADILI TABIA mupenzi mm unene wangu ni wakuzaliwa...nifanyeje?...