wabongo noma

kimtu

New Member
Joined
Sep 19, 2008
Posts
3
Reaction score
1
mashindano ya dunia(kulala na mabinti warembo)vyumba vipo 100 kila chumba kina binti mmoja chumba cha 101 ni bafu na choo...ukimaliza kimoja unahamia,kingine..majaji wana system inayoonyesha kila kitu kinachoendelea...karibu washiriki dunia nzima ina wawakilishi katika fainali hiyo ilijumuisha nchi100 dunia nzima....kama kawaida m-bongo akawekwa wa mwisho...alianza mjapani..akafanikiwa kumaliza vyumba 12 akazirai?!!!!!mreno....akapitia 7 akazimia...mchina akamaliza vyumba 14..majaji wakabaki wameduwaa.....m nigeria alipitia vyumba 25..akavunja rekodi..ikaja zamu ya m-bongo..akappitia vyumba 40 mara 60 mara 90...computer na system ika broke...(kama inavyokuwa umeme unavyozimika)...system iliporudi..majaji wakamuona m-bongo kamaliza vyumba vyote 100,yupo bafuni anapiga puli
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kali jamaa alicheza faulo kwenye mitamb nini? maanake wabongo hawawezekani
 
Hahahahahaaa! wakati naanza kuisoma sikupendezwa nayo sana maana nilidhani tuna mengi ya kujadili kuhusu nchi yetu na si hayo. Sasa wakati nimefikia nafasi ya huyo 'MBONGO', kweli imebidi nicheke sana mpaka wenzangu wakanifuata kutaka kujua kulikoni?.

Tathmini yangu; Labda wewe uliyeweka thread hii, unajaribu kutuonyesha ni kwa vipi sisi Wabongo na hasa wale tuliowapa dhamana ya kutuongoza (Bw. Laurence Masha) walivyojikita zaidi katika ngono badala ya majukumu waliyopewa na waajiri wao. Jamaani tubobee katika nyanja za maendeleo na sio katika ngono. Ona Mjapani na Mchina wameishia njiani maana walikuwa wanawaza namna ya kutengeneza magari na mambo mengine ya maendeleo, lakini mnigeria na Mbongo utafikiri 'fisi maji'.
 
Thanks for making me laugh. Is a good joke. Ta
 
Hii game ingekuwa kwenye olympics tungepata medali ya dhahabu. HAHAHAA..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…