WABONGO TUNAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO HAPO

WABONGO TUNAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO HAPO

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
gettyimages-895520558-170667a.jpg


WABONGO TUNAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO HAPO...............

DAR bwana
Tunagawana majukumu tuu
"Wizi" MBAGALA
"umbea" MWANANYAMALA
"mapenzi" KIGAMBON
"vibaka" KARIAKOO
"majivuno" MASAKI
"majungu" TANDALE
"ushamba" BOKO
"ustaarabu" POSTA
"Ulevi" MANZESE
"chumaulete" MWEMBE CHAI
"utajiri" IKULU
"utapeli" UBUNGO
"uchafu" ILALA
"uzururaji" TEGETA
"elimu" KISUTU
"kujiskia" SINZA
"Uswahili" TEMEKE,
"ukimwi" BUGURUNI
"limbwata" KIGOGO
"uchawi" GONGO LA MBOTO,
"Mbwembwe" TANDIKA,
"ushoga" MAGOMENI,
"uchangudoa" KINONDONI,
"kula nguruwe" KIMARA
"kula sadaka" TABATA
"maji taka" MABIBO
"pombe kali" MBEZI
"supu mbovu' VNGUNGUTI
'usalama' KITUNDA
Jamani DAR. wewe kati ya hizo upo mtaa gani?
 
Hiyo ya Kigamboni si kweli, napinga
 
Back
Top Bottom