Wabongo tunapenda ubuyu kuliko vitu vya msingi oneni Sister fey anavyotrend

Wabongo tunapenda ubuyu kuliko vitu vya msingi oneni Sister fey anavyotrend

Ray model

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
207
Reaction score
185
Wabongo nimeamini tunapenda umbeya majungu na kufatilia ya watu

Tunapenda kudeal na yaso msingi

Issue ya sister fey na kibenten chake personal life yake watu wananunulia bandoo

Nimeamini watz wengi wanapenda mambo ya umbeya na udaku lakini vya msingi hapana

Waacheni wadamshi tyuu

Bongo pambee
 
Sasa tufanye nini kama siasa hukawii kukutwa huna meno wala kucha. Bora kuongea umbea ambao hamna atakayekutafuta akuteke
 
Mkuu itabid tukunyang'anye uwenyekiti...yani umeshindwa kung'amua hapo??
Sitak kubeba dhambi nisiyo ifanya nilitaka mhusika ajiseme mwenye kwa yupo

Ngoja tuone atasema nin?

Alafu shemeji hazard cfc umekuwaje siku iz mbona mkorofi sana aitheee

Ah ah ah ah ah ah
 
Back
Top Bottom