..Mtu na akili zako kweli unafungua zipu ya Suruali na kutoa Limshedede lako halafu unakojoa juu ya Sink la kunawia badala ya kukojoa chooni!!!@@###
..Hii imetokea Uwanja wa Taifa jana katika mechi ya Yanga na Azam.
"Miafrika ndivyo Tulivyo" - Nyani Ngabu
walibidi watengeneze na vyoo vya shimo ili kwa wale wavivu wa kuflash waende uko...Mtu na akili zako kweli unafungua zipu ya Suruali na kutoa Limshedede lako halafu unakojoa juu ya Sink la kunawia badala ya kukojoa chooni!!!@@###
..Hii imetokea Uwanja wa Taifa jana katika mechi ya Yanga na Azam.
"Miafrika ndivyo Tulivyo" - Nyani Ngabu
Sio siri mkuu watoto wa uswahilini wameichafua coco beach nzima imetapakaa kinyesi
..Mkuu uhangaike kutafuta sababu ikusaidie nini na jambo lishafanyika!. Hapa tunaelimishana tuwe wastaarabu, tumelilia uwanja tumepata, tuwe wastaarabu tuutunze. Nukta.Inaezekana kunasababu iliyowafanya hao jamaa kukojoa hapo mahali, mtoa maada hukuipata hyo?
walikuwa wanapima uwezo wa ma sinkHata
hayo masink yakunawa mikono ni mabovu na hayafanyiwi matengenezo,. Kwa
hiyo mtu hata akinawa mikono maji yatatuama kwenye hayo masink... Bongo
bwana kila sehemu vidonda