Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hayo mambo ni utani wa media tu kwa hiyo inakuumaHivi unakumbuka alivyotangaza kuwa mahari yake ni millioni 200..ndio maana watu wanakomaa nae...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo ni utani wa media tu kwa hiyo inakuumaHivi unakumbuka alivyotangaza kuwa mahari yake ni millioni 200..ndio maana watu wanakomaa nae...
Watoto wa kilimo cha mchicha kwenye freezer wasumbufu sanaMlowajengea nyumba bibi zenu rusheni hizo nyumba tuone sio kumsema lulu tu
Changanya bajeti za pampers na dawa za maumivu zikiwa fixed kila siku for 5 years. Chukua 20,000×30×12×5= 36,000,000. Hapo inaweza kuwa dawa, pampers, na sabuni za usafi kwa ajili ya mama bila kuhusisha matumizi mengine.Siyo tu bibi zao,unakuta wanamsimanga Lulu wakati wao hata Wazazi wao bado wanaishi nyumba za kupanga.
Huyu Binti anahitaji pongezi,kuuguza karibu miaka 5 tena ugonjwa unajua haponi na bado akapambana hivyo hivyo,anahitaji pongezi na si kubezwa.Kuna watu humu utakuta hata kutuma pesa ya panadol kwa Wazazi wao ni mtihani,lakini hapa JF ndiyo wanaongoza kumsimanga Lulu.
UtopoloKwenye nini ?
Sasa km huko Muheza Ni kwa wajomba na pengine mamake hakuwa na shamba Wala kiwanja ataenda huko akajenge kwa nani.Halafu kazaliwa peke yake, angeenda kujenga huko kwa ajili ya nani na mama anaishi naye Dar.Na yule ni mtoto wa kike usisahau hilo.Point ni moja tu AACHE KU FAKE MAISHA....
Tatizo la nyinyi mnaokulia kwenye pesa kila kitu mnakikuta mna shida sana. Nyie mnafikiri alikuwa hawazi hayo? Hivi ugonjwa ukifika kwenye nyumba yako unaweza anza kuwaza kujenga kwanza sehemu ya kumzika akifa au utahangaika na matibabu?
Kwenye maisha mahitaji ni mengi na yote muhimu ila tunayapa kipaumbele cha umuhimu na ndio maana mengine tunajikuta yametokea ya kutokea hata kabla hatujayafikia na kuyatimiza.
Tuseme Lulu akiwa anaanza kushika pesa anamuahidi mama yake kumjengea nyumba halafu haijatimia hata miezi anaanza kuugua kwa miaka mitano mbele. Unafikiri ile ndoto ya kumjengea mama yake inakuwepo tena? Bila shaka hapo ni matibabu ndio yanakuwa kichwani mwake. Kwenye matibabu watu wanauza hadi nyumba zao na mtu anakufa na unaenda kufikia kwenye hizo nyumba ili kumsitiri ndugu yako.
Huyu binti ameyabeba majukumu kama mwanaume. Kwenye hii dunia yuko peke yake anahitaji faraja. Na hili unaweza kuona wakati anashukuru kwa waliofika kumzika mama yeke. Sio utamaduni wa kiafrika kabisa mwanamke kutoa shukrani hasa mtu ambeye ni mfiwa kabisa. Kunakuwa na utaratibu ndugu mmojawapo anasema neno kwa niaba ya familia. Lakini yeye alisimama. Na hii inaweza muathiri kiakili pakubwa na kwa muda mrefu. Walikuwa wapi wakina Idriss Sultan ndugu zake? Wajomba walikuwa wapi kumzuia asiongee?
Hana cha kulaumiwa ametimiza sehemu yake mengine ni blaablaa tu
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Changanya bajeti za pampers na dawa za maumivu zikiwa fixed kila siku for 5 years. Chukua 20,000×30×12×5= 36,000,000. Hapo inaweza kuwa dawa, pampers, na sabuni za usafi kwa ajili ya mama bila kuhusisha matumizi mengine.
Watu wasifanye masihara
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mwacheni dada wa watu.
By the way yote hii Ni umaarufu unamponza. Unadharauliwa na mtu ambae hajui choo cha shimo kinajengwaje.
Halafu hawaelewi Africa sio kila kijiji unaweza jenga kiurahisi. Kuna maeneo Ukiingia anga zao vibaya unaondoka wewe unaacha mgonjwa anajiuguza. Kuna viijiji ni wachawi hawataki hata nyumba ya bati ijengwe. Haya yote tumeyaona. Halafu ndio itokee kijana mdogo unaenda kufanya matusi mbele ya wazee.Aisee,huyu Binti kwangu mimi ni mfano wa kuigwa kwa vijana wa umri wake.Wengi sana hawawezi hata kuhudumia kwa mwezi mmoja,achilia mbali muda wote huo aliouguza.Nina Imani Mwenyezi Mungu atamfungulia zaidi milango ya riziki ili aweze kuyatimiza yale yote aliyoshindwa kuyatimiza kipindi anauguza Mama yake.
Kabisaa yaan.Ila nachofurahi wengi tumekuwa upande wa lulu hapo lulu ni kwa bibi yake wajomba na hao wamama wadogo wajenge kwao
Halafu hawaelewi Africa sio kila kijiji unaweza jenga kiurahisi. Kuna maeneo Ukiingia anga zao vibaya unaondoka wewe unaacha mgonjwa anajiuguza. Kuna viijiji ni wachawi hawataki hata nyumba ya bati ijengwe. Haya yote tumeyaona. Halafu ndio itokee kijana mdogo unaenda kufanya matusi mbele ya wazee.
Na tabia ya wadigo hawajali walikosana ama hawakumuuguza ndugu yao akifa wanataka wamzike wao no choice. Hata kwa Lulu lazima wajomba walimtaka ampleke mama yake kule. Na hii ipo vijiji vingi ili kumkomoa mtu
By the way sio lazima kujenga kijijini iliko asili yako. Unaweza mjengea mzazi mjini na mkaweka utaratibu wa kuzikwa hapo kwenye mji mpya ya kijijini mkayaacha huko.
Lakini Ugonjwa mzito wa kudumu ama vifo havipigi hodi wakati na siku yoyote vinalipuka na unakosa la kufanya zaidi ya kushika lililokufika
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlowajengea nyumba bibi zenu rusheni hizo nyumba tuone sio kumsema lulu tu
Amemaliza kazi yake ajiangalie yeye na furaha yake kwa sasaIle tu kuamua kumchukua Mama yake Mzazi na kuja kuishi nae hadi umauti unamkuta ni Sadaka tosha kabisa kwake kuliko hata kujenga huko Kijijini,wanaolaumu ningewaelewa kidogo kama Mama yake angekuwa anaugulia huko Kijijini hadi umauti unamkuta huku yeye Lulu akiwa mjini anakula Bata.Lakini Binti kaamua kuteseka na Mama yake hadi hatua ya mwisho,halafu bado watu wanabeza, inasikitisha sana.
Ukajenge Msamala sio unarukaruka humuWabongo hapana kwa kweli lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Point nyepesi sana hii wala haireflect uhalisia tunaouongelea hapa,nakuuliza ni wapi huyu Binti kafake maisha,kama angefake wewe ungeweza kuona hata hiyo nyumba ya Bibi yake?
Umaarufu umemponza...Sasa km huko Muheza Ni kwa wajomba na pengine mamake hakuwa na shamba Wala kiwanja ataenda huko akajenge kwa nani.Halafu kazaliwa peke yake, angeenda kujenga huko kwa ajili ya nani na mama anaishi naye Dar.Na yule ni mtoto wa kike usisahau hilo.
Yy ana makazi Dar na alimchukua mama yake kuishi naye na zaidi kumuuguza hadi kufariki. So kwake ni DSM. Kwa wajomba kunamhusu nini kwenda kujenga huko.
Pamoja na hayo, huyo Lulu ana maisha gani makubwa ya kumlaumu kiasi hicho. Au tu kwasababu ja jina kubwa na mavazi basi imekuwa nongwa.
Nafuu hata yeye ana pakujihifadhi hapo mjini. Wangapi majina makubwa na hawana hata kiwanja cha hatu 2,wanamiliki pea kadhaa za viatu na magauni bila kusahau mahawara.
Mwacheni dada wa watu.
By the way yote hii Ni umaarufu unamponza. Unadharauliwa na mtu ambae hajui choo cha shimo kinajengwaje.
L
Umaarufu umemponza...