TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
[emoji3] [emoji3] [emoji3] dah brave
Baada ya Mange kupotea hewani kama weeks 3 ivi watu wengi hasa kundi kubwa la vijana limeingiwa na wasiwasi juu ya Mange.baada ya kurudi fans wake wameingia wa wazimu nakuanza kumshushia matusi na kumshtumu amepunga Speed