Baada ya Mange kupotea hewani kama weeks 3 ivi watu wengi hasa kundi kubwa la vijana limeingiwa na wasiwasi juu ya Mange.baada ya kurudi fans wake wameingia wa wazimu nakuanza kumshushia matusi na kumshtumu amepunga Speed
Mleta mada utakuwa na mtindio wa ubongo. Hii mitandao imejianisha, haya siyo ya kuleta JF, ungeungana na hao wanaomjibu na kumshushia mitusi huko huko. Kama hamwelewi aina ya mada kwa mahali husika kaeni kimya jamaniiii, mnaboa sana sana.