Wabongo wanachangia pakubwa kufanya wasanii wa kike kupiga picha za uchi

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Kwa mtazamo wangu na kwa umakini wangu wa kufuatilia habari zote za udaku za wasanii nimejifundisha ya kuwa watanzania wengi wanapenda sana kuona wasanii wa kike wakiachilia maungo yao kwa mitandao ya kijamii.
Habari ambazo zinahusisha wasanii wakionyesha maungo yao hupokelewa vyema huku wengine hata wakiomba wasanii wengine wajiachilie kwa mitandao ili wapate umaarufu zaidi...
Lakini habari nyingine zinazohusu wasanii wakifanya mambo tofauti utasikia kejeli, matusi, kushtumu, kulaani na mambo mengine kwa wasanii hao.
Mi sielewi tatizo ndilo lipi...ama wasanii ndio waendelee kupiga picha za uchi ama waendelee kuitumikia jamii ili wapate umaarufu?!?
 
wewe uko upande upi???
 
Mi nasupport wasanii wasaidie jamii
 
Wao wapige tu hata ukikataza hakuna atakaekusikiaa
 
sasa sijui hapo nini kifanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…