Shuku_
Senior Member
- Sep 26, 2019
- 174
- 216
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
1 kwa 1 kwenye mada yangu kama vile kichwa kinavyosema.
Najua una HAMU ya kujua wabongo wengi hufanya kosa gani ktk biashara huko ONLINE.
Binafsi, nmepita katika mitandao mingi ikiwemo x (Instagram) na Facebook. Ktk mitandao hiyo
wabongo wengo wamekuwa wakifanya biashara za mtandaoni ili kukuza soko la biashara yake kwa kufikia wateja wengi zaidi.
Ila wengi ktk juhudi hizo wamekuwa na tabia ya kuficha BEI ya bidhaa zao na kuwaelekeza hivi wateja…
• Nicheck inbox kwa maelezo zaidi
• Nicheck inbox
• Piga 0712 * *
• Mteja sirious nchek inbox
• WhatsApp me 0712 * * au Link
____________________________
Wafanya biashara hao wamekuwa wakifanya makosa hayo ya kuto kuweka BEI utadhani wanauza SUMU au MADAWA.
Inawezekana bango lake likafikiwa na watu wengi tu ila tatizo hilo moja linafanya wateja watakao piga simu au kufuata maelezo ya mfanyabiashara ni wachache kuliko walio lipita tangazo ambalo __________________________
Najiuliza… hivi hawa akina ALIBABA na KIKUU, Ingekuwaje kama biashara zao nao wangekuwa wanaficha BEI pamoja na MAELEZO MENGINE YA MSINGI hizo biashara zao zingekuwa wapi leo hii!!.
___________________________
Hizi picha huku chini ni baadhi ya MATANGAZO niliyopata kukutana nayo.