Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Wanabodi,
Salaam!
Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi.
Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania kuna wanajimbo waliomtuma Mbunge yeyote mawazo haya ya kunyongwa wezi. Je, uwepo wa sheria hii utaondoa dhambi duniani?
Ngaika Ndenda