Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Hao wabunge tu, wengi wao waliingia bungeni kwa wizi wa kura. Adhabu ianzie kwao basiWanabodi,
Salaam!
Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Doidoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi.
Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania kuna wanajimbo waliomtuma Mbunge yeyote mawazo haya ya kunyongwa wezi. Je, uwepo wa sheria hii utaondoa dhambi duniani?
Ngaika Ndenda
Ndio tumewatuma hayoWanabodi,
Salaam!
Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi.
Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania kuna wanajimbo waliomtuma Mbunge yeyote mawazo haya ya kunyongwa wezi. Je, uwepo wa sheria hii utaondoa dhambi duniani?
Ngaika Ndenda
Ila wizi halmashauri unakera sanaaa....lazima wapate dawa yake....ikibidi rufikie hukoHapo watanyonga vidagaa kama DT, TT, TD, na procurement officers wasio na mizizi kwenye mfumo. Wameshindwa mahakama ya mafisadi kutekeleza adhabu wataweza?
"Ngaika ndenda"Wanabodi,
Salaam!
Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi.
Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania kuna wanajimbo waliomtuma Mbunge yeyote mawazo haya ya kunyongwa wezi. Je, uwepo wa sheria hii utaondoa dhambi duniani?
Ngaika Ndenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm kwa comedy futuhi wanasubiri,yani wapitishe mkataba wa bandari bila kuusoma,leo wanakuja na blahblah tu kama wametoka kunywa gongo..hao wabunge 168 wapelekwe mirembe wapimwe afya ya akili...ccm hakuna ambae sio gisadi yani ufisadi kwao ni sawa ma kunywa majiWanabodi,
Salaam!
Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi.
Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania kuna wanajimbo waliomtuma Mbunge yeyote mawazo haya ya kunyongwa wezi. Je, uwepo wa sheria hii utaondoa dhambi duniani?
Ngaika Ndenda
Mgonjwa kapiga chafya. safi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm kwa comedy futuhi wanasubiri,yani wapitishe mkataba wa bandari bila kuusoma,leo wanakuja na blahblah tu kama wametoka kunywa gongo..hao wabunge 168 wapelekwe mirembe wapimwe afya ya akili...ccm hakuna ambae sio gisadi yani ufisadi kwao ni sawa ma kunywa maji
Kunyongwa ndiyo dawa ya pekee na kamili kwa gonjwa la rushwa na ufisadiWanabodi,