Mkuu
Babu Ochu, sina jipya lolote la kusema, kwenye issue hii, I think I have said almost everything
- Kina Mdee hawakujiteua waliteuliwa ila sio na kikao halali cha uteuzi bali kiongozi wa juu wa Chadema
- Barua yao ya uteuzi kutoka Chadema kwenda NEC ni barua authentic bonafide genuine, hivyo hakuna forgery yoyote iliyofanyika.
- Kikao cha Kamati Kuu kilichoitishwa sio kikao halali, hivyo kilikaa kama a Kangaroo Court
- CC ya Chadema ni mamlaka halali ya nidhamu kwa wabunge ila katiba sheria taratibu na kanuni hazikufuatwa hivyo uamuzi wake ni uamuzi Kikangaroo.
- CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya Halima Mdee, hivyo ina uwezo wa kumsimamisha tuu lakini haina uwezo wala mamlaka kumfukuza, sasa hiyo CC ya Chadema, ilipata wapi mamlaka kumtimua Mdee?, ni Ukangaroo tuu huo.
- Kikao cha Baraza Kuu ni mamlaka halali ya rufaa ya wabunge na kiliitishwa kihalali, ila kitendo cha kuridhia uamuzi wa kikao batili na ile hukumu ya Kikangroo, kumepelekea maamuzi ya Baraza Kuu nayo kuwa ni ya Kikangroo as well.
- baada ya kukosa haki ndani ya chama, they were left no options but kutafuta haki mahakamani, huku wanaelewa wakishindwa that would be a suicide, the end of the road, the grand finale, final and conclusive.
- Jana ndio kesi imetupwa for legal technicalities and not points of law
- Wakirekebisha na kuendelea, then the game is on again and it's not over until it's over.
- Wakikubali matokeo, then this will be the end of the road for them na sasa hapo Mzee karma anapoanzia.
P