Pre GE2025 Wabunge 19 Kurudi au kutorudi CHADEMA, nini kifanyike?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Kila tunapokaribia duru za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vuguvugu na joto la siasa linapanda. Kuna suala la wabunge 19 walikuwa CHADEMA na ambao suala lao liko mahakamani.

Hawa wabunge walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na kupata baraka za Baraza Kuu baada ya rufaa zao, na kisha suala hilo kuishia mahakamani.

Mazingira ya shauri hilo kisiasa ni kwamba serikali ilicheza faulo kubwa kwenye uchaguzi kwa nia ya kuifuta Chadema na upinzani wote, ikajikuta imepitiliza na hivyo kukosa upinzani Bungeni, hali iliyopelekea kukosa kigezo cha misaada kutoka nje kwa misingi wa kidemokrasia.

Suluhisho ikawa kuendeleza faulo kwa kuwapata wabunge 19 ili kujenga uhalali wa uwepo wa upinzani bungeni na demokrasia ili kupata misaada ya kibunge. Upande wa pili, wabunge hao nao wakaona uwezekano wa kuchaguliwa kuingia Bungeni kupitia chama chao( haupo) haiwezekani kwa vile CHADEMA ilikataa kupeleka wawakilishi Bungeni kwa hali iliyokuwa imejitokeza.

Soma Pia: CHADEMA mmejipangaje na wabunge 19 wa viti maalumu kutorudi bungeni tena mwaka 2025/26?

Awamu ya tano kwa mabavu ikawapata akina Halima( nao wakati ule wana hali mbaya ya kiuchumi) wakawa hawana namna. Na ni kwa sababu hiyo hiyo wameng'ang'ania bungeni na mamlaka kuwakumbatia(marriage of convenience). Kuna fununu wapo baadhi wangependa kurudi kundini. Nini kifanyike:

1. Hawa wana siasa ni nguli na wazuri pamoja na madhaifu yao,hivyo nashauri wale wenye nia ya kurudi wakubaliwe ili mradi taratibu zifuatwe.

2. Kila" case" ya mbunge iamuriwe kwa uzito wake"on its own merit" na kamati kuu na baraza watakapoomba kurudi. Huku mkizingatia mazingira ya siasa za wakati ule na sasa ni tofauti mno.

3. Ifanyike Cost/ benefit analysis ya kuwarudisha na kutowarudisha. Siasa ni "dynamic" na ni "game of chance" na uimara wa chama ni wanachama na wapenzi wenyewe.

4.Siasa haina urafiki na uadui wa kudumu

5. "Rigidity" kwenye siasa ni mbaya na ujenzi wa chama ni zoezi la "flexibility" huku mkizingatia malengo ya chama. kushupaza shingo ni kukosa weredi wa kushughulikia mambo kwa uhalisia wake.
 
COVID 19 wapatao 13 wameshasamehewa linasubiriwa tamko tu la CC ya Chadema 😂😂
Ni kweli. Facial expressions za Mbowe na Salum Mwalimu msibani iinaonyesha COVID-19 wliingia bungeni kwa maelekezo ya wakubwa. Nakumbuka mwanzoni kabisa mwa sakata hili, Mdee alimwambia Mnyika kamuulize vizuri kakako Mbowe.

Msisahau pia wakiwa msibani, mwenyekiti wa ccm Moshi alimkaribiha Mdee ajiunge ccm waombolezaji wakaguna. Halafu Salum Mwalimu alipopata nafasi ya kuongea akamwambia Mdee kuwa "mm sina haja ya kumjibu mwenyekiti wa ccm Moshi, waombolezaji washajibu".

Mbowe, Mnyika na Mnyika wanawachezea kekundu wanachama wa chadema
 
Dr Mahera alisema Mnyika ndiye aliyesaini fomu za akina Mdee

Na Mnyika hajawahi kumshtaki Dr Mahera hadi Leo 🐼
 
Kuna vyma vingi vya upinzani waendelee huko, kwanini mnalazimisha CHADEMA iliyowafukuza?
 
Ni kweli. Facial expressions za Mbowe na Salum Mwalimu msibani iinaonyesha COVID-19 wliingia bungeni kwa maelekezo ya wakubwa. Nakumbuka mwanzoni kabisa mwa sakata hili, Mdee alimwambia Mnyika kamuulize vizuri kakako Mbowe.

Msisahau pia wakiwa msibani, mwenyekiti wa ccm Moshi alimkaribiha Mdee ajiunge ccm waombolezaji wakaguna. Halafu Salum Mwalimu alipopata nafasi ya kuongea akamwambia Mdee kuwa "mm sina haja ya kumjibu mwenyekiti wa ccm Moshi, waombolezaji washajibu".

Mbowe, Mnyika na Mnyika wanawachezea kekundu wanachama wa chadema
Hao jamaa watatu ni majanga tu. Ndio wanaolea Hilo jambo la COVID 19. Maana huyo Mbowe ndio alikuwa anawaita kwenye vikao Nairobi akina Mdee. Halafu huyo Mwalimu anamuongelea Mdee aliyefukuzwa chamani kana kwamba bado ni mwanachama.
 
Dr Mahera alisema Mnyika ndiye aliyesaini fomu za akina Mdee

Na Mnyika hajawahi kumshtaki Dr Mahera hadi Leo 🐼
Ingekuwa hivyo wasingehangaika kufungua kesi au kukatia rufaa hukumu ya mahakama kuu.
 
Back
Top Bottom