M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?