Wabunge 19 viti maalum CHADEMA wanasubiri kulipwa 400m pensheni?

1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.

2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?

Hizo 400 ni kama hana mkopo wowote

Kuna wengine watapata 5m tu
 
1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.

2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
Kichwani uko sawa?
 
Back
Top Bottom