M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kitenge anazisubiria hizo hizo atoe talaka. Aoe lishangazi lingine lenye pesa zaid1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
Iko siku watazilipa tu!1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
Ili na yeye asanuke kuwa mjini akili🙄1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
Sio wabunge wa CHADEMA hao lakini1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
Hivi ni 250M au 400M???1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
Rekodi za Spika zinaonyesha wanawakilisha CHADEMASio wabunge wa CHADEMA hao lakini
Mitaji ya biashara hapoRekodi za Spika zinaonyesha wanawakilisha CHADEMA
Each other au1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
Wanasubiri mkopo wa Korea...Wakiwa wabunifu 400m TZS mtaji wa kutosha
MUNGU ANAKUPA UNACHOSTAHILI SIO UNACHOTAKA UTATESEKA PAMBANA NDUGU TUNZA FAMILIA1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?
Kuna haja ya Lisu kuwaandikia barua maalumu hao COVID-19 ili kuwaombea mchango wa gari.Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0 kilometre)?