PreGE2025 Wabunge 19 walioingia mgogoro na CHADEMA wamegawanyika makundi kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mzee wa Code

Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
82
Reaction score
227

Wabunge 19 Walioingia Mgogoro na CHADEMA Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025​

Wabunge waliokuwa sehemu ya mgogoro wa kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sasa wamegawanyika katika makundi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Baadhi tayari wametangaza kujiunga na CCM na kutangaza majimbo watakayogombea, wengine bado hawajafanya uamuzi wa mwisho, na baadhi wameamua kuachana na siasa.

Wabunge Waliokwisha Tangaza Kugombea Kupitia CCM​

  1. Sophia Mwakagenda
    • Anatarajia kugombea Jimbo la Rungwe kupitia CCM.
  2. Esther Matiko
    • Anarejea kugombea Jimbo la Tarime Mjini kupitia CCM.
  3. Salome Makamba
    • Mwanasheria huyu atawania Viti Maalum kupitia CCM, mkoa wa Shinyanga.
  4. Felister Njau
    • Anajiandaa kugombea Jimbo la Moshi Vijijini kupitia CCM, akiwa na ngome kubwa Kata ya Mabogini.
  5. Nusrat Hanje
    • Anatarajiwa kugombea Jimbo la Singida Mashariki (eneo la Tundu Lissu) kupitia CCM, akimkabili Rajabu Mtaturu kwenye kura za maoni.
  6. Stella Fleo (Stera Fyao)
    • Badala ya Tunduma, sasa anajiandaa kugombea Jimbo la Ileje kupitia CCM, licha ya mvutano na Naibu Waziri Kasekenya.
  7. Hawa Mwaifunga
    • Anatarajiwa kugombea Jimbo la Tabora Mjini kupitia CCM, akiwa ni mke wa Bananga.
  8. Cecilia Pareso
    • Anarejea kugombea Jimbo la Karatu kupitia CCM.
  9. Kunti Majala
    • Anapendwa sana Chemba, na ngome yake kuu ni Kata ya Usandawe. Atagombea Jimbo la Chemba kupitia CCM.
  10. Jesca Kishoa

  • Ingawa alikuwa anakubalika sana Iramba, kwa sasa amehamia Jimbo la Mkalama na amethibitisha kugombea kupitia CCM.

Wabunge Waliobakia Katika Hatua ya Kusubiri (50 kwa 50)​

  • Ester Bulaya
    • Ametangaza nia ya kugombea Jimbo la Bunda Mjini, lakini bado hajatangaza chama atakachotumia.
  • Halima Mdee
  • Grace Tendega
  • Agnes Lambart
  • Asia Mohammed
  • Annatropia Theonest
  • Conchesta Rwamlaza
  • Naghenjwa Kaboyoka

Waliotangaza Kuachana na Siasa​

  • Tunza Malapo
    • Hajatangaza kugombea. Ameamua kuachana na siasa na kusubiri uteuzi kama nafasi itatokea.
Untitled-1-1.jpeg
 
Mbona wote wako ccm!
 
Mbona hakuna aliyekimbilia CHAUMA au ACT Wazalendo!
 
Halima na Bulaya watanipa Mtazamo binafsi wa mambo ya siasa kwa maamuzi wakakao chukua, actually ndo hao tu nimewaangalia kwenye list, Kuna namna I respeck the two Ladies
 
Back
Top Bottom