Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kwani kama mambo yanaenda vizuri kwako, kwa anajimbo wako na chama chako kuna haja ya kuuliza?
.
- Mkuu tutajie jimbo moja tu ambalo mambo yanakwenda vizuri hapa Tanzania.
- Ili liwe mfano kwa majimbo mengine
viti maalum...![/QUOTE]
Tehee mbavu zangu jamani, this is why huwa naimiss JF wakati SERVER ikiwa CHINI.
Jamani hata kama viti maalum mambo ni shwari si wachangie general issues????
Hapo wakulaumiwa ni mwananchi anaye chagua mtu goigoi aende kumwakilisha alafu akifika bungeni anaweka mdomo plasta....mwananchi aliye mleta huyu mbunge bungeni ndo wa kwanza kulaumiwa ndiye aliye mchagua kwa kumpigia kura halali.
Mkuu Mwazange.Lakini kumbuka Mzee Mwapachu anasema wazi kuwa hatumpi kura kwa sababu tunampenda...ni yale anayotufanyia kule Kisosora..sijaona kitu kule labda ni ile mikeka anayogawa bure Misikitini!!Lakini nakuthibitishia safari hii amesema anapumzika,hataki tena Ubunge....Naona Mwamvita na Mzee Juma Mwapachu wanajipanga....kazi kweli kweli!!