Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Kasheku Musukuma akiongea bungeni amesema walikwenda Dubai kuona mafanikio ya bandari za huko.
ZIARA YA KAMATI YA MH. PROF. MBARAWA YA WABUNGE 30 DUBAI
Jambo la kushangaza ni kuwa kamati ya Bunge wakitembelea miradi ndani ya Tanzania huwa tunaona habari hizo katika media zetu mfano kamati ya Bunge imetembelea mradi wa SGR Reli au Kamati ya Wabunge ikiongoza na mwenyekiti wa kamati maalum wametembelea mradi wa ujenzi wa meli kubwa ziwa Victoria n.k
Lakini ziara hii ya kutembelea Dubai ilikuwa ya
kimya kimya na usiri mwingi inaacha maswali mengi sana miongoni mwa watanzania wengi wanaofuatilia sakala hili la bandari kuuziwa DP World ya Dubai.
Haraka ya Bunge kufanya overtime siku ya jumamosi tarehe 10 Juni 2023 kupitia mkataba huu wa mradi wa bandari za Tanzania huku tayari ma 'influencers' 30 waliozuru Dubai wakiwa wakali wanataka haraka kuchagiza kukamilisha utekelezaji wa miradi kama mbunge Joseph Kasheku Musukuma alivyosema bungeni siku chache kuhusu 'ucheleweshaji' wa miradi.
TOKA MAKTABA :
Kamati ya Bunge LAAC ya wabunge kadhaa ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yatembelea Miradi ya Maendeleo Mtwara
29 Mar2023
Kamati ya Kudumu ya Bunge Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imekataa taarifa ya mkurugenzi wa halmashauri ya manipsaa ya Mtwara Mikindani kwa kushindwa kutekeleza agizo la kupeleka milioni 600.2 (40%) za fedha za miradi ya maendeleo badala yake ametoa 400.7 (16%) tu kati ya makusanyo ya shilling billion 2.6 kwa mwaka wa fedha 2020-2021.

Prof. Makame Mnyaa Mbarawa alikusanya wabunge wa kamati ya Miundo Mbinu na kuwapeleka kukutana na Watawala wa Dubai