Wabunge 35 wa Tanzania Washiriki Mafunzo ya APSEZ Nchini India

Wabunge 35 wa Tanzania Washiriki Mafunzo ya APSEZ Nchini India

Wakirudi kila mmoja atoe presentation kwenye luninga tuone amejifunza nini na anashauri nini kifanyike, pia kila mmoja aandike report ambazo zitawekwa ili umma uweze kuzisoma.
Sidhani hata watafika watatu wanaoweza kufanya hili mkuu!🤣
Kwanza wengi wao wanawaza majimbo yao na ujio wa CDM😀
 
Ni style ya kuboost kipato kwa njia halali.

Magufuli hata haya alikuwa hataki, huwezi kuwabana watu hata kuingiza pesa halali kwa njia halali.

Ni kweli ni ulaji tu hapo lakini kwa njia halali.
Hiyo ndo Kampuni inayopewa zabuni ya kuendesha bandari yetu kuanzia mwezi Julai mwaka huu. Hapo wanazibwa midomo.
 
Back
Top Bottom