P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Mar 12, 2023 #21 Muju4 said: Wakirudi kila mmoja atoe presentation kwenye luninga tuone amejifunza nini na anashauri nini kifanyike, pia kila mmoja aandike report ambazo zitawekwa ili umma uweze kuzisoma. Click to expand... Sidhani hata watafika watatu wanaoweza kufanya hili mkuu!🤣 Kwanza wengi wao wanawaza majimbo yao na ujio wa CDM😀
Muju4 said: Wakirudi kila mmoja atoe presentation kwenye luninga tuone amejifunza nini na anashauri nini kifanyike, pia kila mmoja aandike report ambazo zitawekwa ili umma uweze kuzisoma. Click to expand... Sidhani hata watafika watatu wanaoweza kufanya hili mkuu!🤣 Kwanza wengi wao wanawaza majimbo yao na ujio wa CDM😀
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,692 Reaction score 3,891 Mar 12, 2023 #22 Dr Matola PhD said: Ni style ya kuboost kipato kwa njia halali. Magufuli hata haya alikuwa hataki, huwezi kuwabana watu hata kuingiza pesa halali kwa njia halali. Ni kweli ni ulaji tu hapo lakini kwa njia halali. Click to expand... Hiyo ndo Kampuni inayopewa zabuni ya kuendesha bandari yetu kuanzia mwezi Julai mwaka huu. Hapo wanazibwa midomo.
Dr Matola PhD said: Ni style ya kuboost kipato kwa njia halali. Magufuli hata haya alikuwa hataki, huwezi kuwabana watu hata kuingiza pesa halali kwa njia halali. Ni kweli ni ulaji tu hapo lakini kwa njia halali. Click to expand... Hiyo ndo Kampuni inayopewa zabuni ya kuendesha bandari yetu kuanzia mwezi Julai mwaka huu. Hapo wanazibwa midomo.