Wabunge akina Sanga na Shigongo mnapata wapi Jeuri ya Kukemea Ufisadi wakati nanyi mmeingia Bungeni Kifisadi?

Wabunge akina Sanga na Shigongo mnapata wapi Jeuri ya Kukemea Ufisadi wakati nanyi mmeingia Bungeni Kifisadi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tena Wewe Sanga ( mwana Simba SC Mwenzangu ) nakujua ndani nje na hata ulivyoupata huo Ubunge wako hivyo nakuonya nyamaza sawa?

Na Wewe Shigongo ndiyo kabisa una Dhambi za Kutosha na Madudu ya kila kupitia Kampuni yako ya Global hivyo nawe nakuonya nyamaza sawa?

Halafu mlivyonikwaza zaidi GENTAMYCINE ni kwamba kwa sasa nchini Tanzania mnamjua kabisa Fisadi Mkuu Mpya ila kwa Unafiki na Uwoga wenu wala hamumtaji.

Nendeni Mbweni muone huyo Fisadi anavyofanya Kufuru huko. Nendeni Mkoani Mtwara mkaone anachokilima huko wakati kabla ya tarehe 17 Machi, 2021 alikuwa halimi na mkimaliza piteni piteni pande za Masaki, Mkoani Mwanza na Mbugani achilia mbali huko Isles muone akifanyacho.

Sanga na Shigongo mnadhani GENTAMYCINE sijui kuwa aliyewaingizeni Bungeni Kifisadi na Kimabavu mwaka 2020 katika Caucus yenu ya Chama aliwakalisheni chini na Kuwaambia anayedhani amekuwa Mbunge kwa Nguvu ( Juhudi ) zake asimame na hakuna kati yenu ( hadi yule mwenye Timu yake Kwao Lindi ) nae aliufyata?

Acheni Kutupotezea muda sawa?
 
Back
Top Bottom