Wabunge ambao walikuwa na uwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. Je Ni kwanini

Wabunge ambao walikuwa na uwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. Je Ni kwanini

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
397
Reaction score
201
Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo.

Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa waziri wa Fedha au Biashara na viwanda lakini Marais wote hawajamchagua kuwa waziri. Je ni kwanini?
 
Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na
Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo. Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa waziri wa Fedha au Biashara na viwanda lakini Marais wote hawajamchagua kuwa waziri. Je ni kwanini?
Kabila lake linamponza, kama CRDB tu alijaza home boys na home girls, Wizara ya fedha si ingekuwa balaaaaa
 
Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo.

Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa waziri wa Fedha au Biashara na viwanda lakini Marais wote hawajamchagua kuwa waziri. Je ni kwanini?
Unategemea Rais kilaza anaweza kuteua mjuaji?
 
Kabila lake linamponza, kama CRDB tu alijaza home boys na home girls, Wizara ya fedha si ingekuwa balaaaaa
Nil1i Fanya kazi kwenye Taasisi moja ya fedha ambayo Ilikua na wachaga wengi na sisi as junior staff tulinong'ona Sana kafika stage ni kaingia kwenye management team ndo nikajua why wachanga ni wengi.

Mkitangaza nafasi za kazi let's say nafasi 20 naweza Pata cv 100 za wachaga na wapo vzr thus katika nafasi ishirini naweza Pata wachaga 15 sio kwa upendeleo no kwa uwezo wao na hii inamaanisha wachaga wanapeleka Sana watoto shule. Nadhani pia 25% au zaidi ya graduate wanao malizia kila mwaka ni wachaga.
 
Kuna vitu hata ukiwa na uwezo unaweza usipewe mfano mzuri ni huyo kimei anaonekana kabisa amejaa ukabila kama Magufuli.Imagine amekaa CRDB BANK imegeuka kuwa ya wachaga,sasa angepelekwa huko Wizara ya Fedha ingekuwaje???
 
Nil1i Fanya kazi kwenye Taasisi moja ya fedha ambayo Ilikua na wachaga wengi na sisi as junior staff tulinongona Sana kafika stage ni kaingia kwenye mananement team ndo nikajua why wachanga ni wengi.

Mkitangazanafasi za kazi let's say nafasi 20 naweza Pata cv 100 za wachaga na wapo vzr thus katika nafasi ishirni naweza Pata wachaga 15 sio kwa upendeleo no kwa uwezo wao na hii inamaanisha wachaga wanapeleka Sana watoto shule. Nadhani pia 25% au zaidi ya graduate wanao malizia kila mwaka ni wachaga.
Kama hii ni sababu basi Serikalini kungejaa wafanyakazi wachaga.
 
Back
Top Bottom