Wabunge ambao walikuwa na uwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. Je Ni kwanini

Wabunge ambao walikuwa na uwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. Je Ni kwanini

Sylvestry Koka jamaa kawa mbunge kwa muda mrefu sana sijui kwann hajapata bahati ya kuwa waziri
 
Mpaka kwenye list tuko na hawa. Tuendelee

1.Mh. Charles Kimei -Mbunge wa Vunjo
2.Mh..Mrisho Gamba - Mbunge wa Arusha Mjini
3.Mh Sylvestry Koka - Mbunge wa Kibaha Mjini
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
...
 
Nil1i Fanya kazi kwenye Taasisi moja ya fedha ambayo Ilikua na wachaga wengi na sisi as junior staff tulinong'ona Sana kafika stage ni kaingia kwenye management team ndo nikajua why wachanga ni wengi.

Mkitangaza nafasi za kazi let's say nafasi 20 naweza Pata cv 100 za wachaga na wapo vzr thus katika nafasi ishirini naweza Pata wachaga 15 sio kwa upendeleo no kwa uwezo wao na hii inamaanisha wachaga wanapeleka Sana watoto shule. Nadhani pia 25% au zaidi ya graduate wanao malizia kila mwaka ni wachaga.
Hizi story za Miaka ya 80s,90, kabla Jakaya hajaingia madarakani. Sasa hivi kila Kijiji,kitongoji,mtaa katika Tanzania hii kina digrii na diploma za kufa mtu......
 
Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo.

Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa waziri wa Fedha au Biashara na viwanda lakini Marais wote hawajamchagua kuwa waziri. Je ni kwanini?
Huyu ubunge wenyewe umemshinda apewe uwaziri wa nini?
 
N
Nil1i Fanya kazi kwenye Taasisi moja ya fedha ambayo Ilikua na wachaga wengi na sisi as junior staff tulinong'ona Sana kafika stage ni kaingia kwenye management team ndo nikajua why wachanga ni wengi.

Mkitangaza nafasi za kazi let's say nafasi 20 naweza Pata cv 100 za wachaga na wapo vzr thus katika nafasi ishirini naweza Pata wachaga 15 sio kwa upendeleo no kwa uwezo wao na hii inamaanisha wachaga wanapeleka Sana watoto shule. Nadhani pia 25% au zaidi ya graduate wanao malizia kila mwaka ni wachaga.
Ni watu wachache watakuelewa hasa kwa walioona ukweli kama wewe, kozi nyingi za biashara zina wachaga wengi, hivyo usishangae kuwakuta kwa wingi kwenye biashara.
 
Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo.

Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa waziri wa Fedha au Biashara na viwanda lakini Marais wote hawajamchagua kuwa waziri. Je ni kwanini?
Je ana uwezo wa kujizima data? Yaani kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a uchawa
 
Hizi story za Miaka ya 80s,90, kabla Jakaya hajaingia madarakani. Sasa hivi kila Kijiji,kitongoji,mtaa katika Tanzania hii kina digrii na diploma za kufa mtu......
Still wachaga wana grauade kwa wingi kila mwaka, kwa kozi zote na vyuo vyote Tanzania.
 
Kuna uzi aliuanzishaga the boss wakati Magufuli ndio anaingia madarakani, aliandika yafuatayo, "watu wengi wanafikiria nani atakua waziri mkuu wa awamu ya 5, lakini waziri muhimu kwa serikali yoyote ni waziri wa fedha, serikali ya Kikwete iliyumba sana kwasababu hakua ka waziri wa fedha strong, serikali ya Mkapa ilifanikiwa sana kwasababu Mkapa alichagua mawaziri wa fedha ambao walikua very strong......"

Niishie hapo hapo kwa nukuu ya the boss
 
Na ambaye hakupaswa kuwa waziri kabisa lakini akabahatika. Kangi lugola
 
Na UCHAWA, rushwa ya uhusiano, undugu na kulindana. Hivi kweli unaweza kumuweka kwenye afya Waziri asiye na ujuzi kwenye Afya na utegemee matokeo ya kitaalamu?
Inawezekana mkuu, kumuweka asiyekuwa mtaalamu wa fani husika kuwa waziri. Kwa ujumla wake uwaziri ni nafasi ya kisiasa, hata mchakato wake wa kupata nafasi ya uwaziri ni wa kisiasa, lakini ndani ya wizara kuna Katibu mkuu ambaye aghalabu huwa mtaalamu wa fani husika na pia kuna ma kamishna ambao ni wataalam
 
Mpaka kwenye list tuko na hawa. Tuendelee

1.Mh. Charles Kimei -Mbunge wa Vunjo
2.Mh..Mrisho Gamba - Mbunge wa Arusha Mjini
3.Mh Sylvestry Koka - Mbunge wa Kibaha Mjini
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
...
Vp kuhusu Prof Muhongo Sospeter?
 
Back
Top Bottom