babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Ni vijana wenzetu lakini hawatakuwa na ushawishi wowote,Elimu yao ni ndogo sana kuweza kuchambua mambo ya msingi,itakuwa ajabu kama watashindwa hata kuisemea tasnia ya sanaa ambayo wanajishughurisha nayo,na kuisemea tu haitoshi,lazima upereke mswada na ushawishi wenzio wakuunge mkono.Hawa waheshimiwa mi naona kazi yao ni kugonga meza tu, hawajengi hoja,
hawahoji chochote, labda juzi ndo nimemuona mwana FA kauliza swali rahisi sana na kujibiwa palepale.
Hawa wabunge ni vijana wajaribu kuwa wabunifu kwa kuamsha amsha hiyo serikali katika kila jambo.
Sio kukaa tu pale na kugonga meza tu.
Sugu alikuwemo mule na aliwapeleka haswa.
Professor Jay alikuwemo lakini kama hawa,
Hitimisho
Tafadhalini sana tuko mtaani huku mjenge hoja za msingi zifanyiwe kazi,
Sio kukaa tu huko mnakula posho, mshahara mil 11 na pensheni mil 200+ wakati kazi yenu kugonga meza tu.
Hiyo hata mtoto wangu anaweza fanya.
Ni vijana wenzetu lakini hawatakuwa na ushawishi wowote,Elimu yao ni ndogo sana kuweza kuchambua mambo ya msingi,itakuwa ajabu kama watashindwa hata kuisemea tasnia ya sanaa ambayo wanajishughurisha nayo,na kuisemea tu haitoshi,lazima upereke mswada na ushawishi wenzio wakuunge mkono.
Bado wanafikiri wapo studio wakitunga wimbo,pale ni bungeni.
Bungeni inabidi waaingie watu wenye Elimu kuanzia shahada ya Kwanza,na akiwa mwanasheria ni poa zaidi.
FA ana Masters Sugu na Jay wana certificates tu.Ni vijana wenzetu lakini hawatakuwa na ushawishi wowote,Elimu yao ni ndogo sana kuweza kuchambua mambo ya msingi,itakuwa ajabu kama watashindwa hata kuisemea tasnia ya sanaa ambayo wanajishughurisha nayo,na kuisemea tu haitoshi,lazima upereke mswada na ushawishi wenzio wakuunge mkono.
Bado wanafikiri wapo studio wakitunga wimbo,pale ni bungeni.
Bungeni inabidi waaingie watu wenye Elimu kuanzia shahada ya Kwanza,na akiwa mwanasheria ni poa zaidi.
FA hana elimu ndogo,chuo kapiga Ifm paleNi vijana wenzetu lakini hawatakuwa na ushawishi wowote,Elimu yao ni ndogo sana kuweza kuchambua mambo ya msingi,itakuwa ajabu kama watashindwa hata kuisemea tasnia ya sanaa ambayo wanajishughurisha nayo,na kuisemea tu haitoshi,lazima upereke mswada na ushawishi wenzio wakuunge mkono.
Bado wanafikiri wapo studio wakitunga wimbo,pale ni bungeni.
Bungeni inabidi waaingie watu wenye Elimu kuanzia shahada ya Kwanza,na akiwa mwanasheria ni poa zaidi.
Alipotoka IFM na Adv Dip alikwenda COVENTRY UK Master's degreeFA hana elimu ndogo,chuo kapiga Ifm pale
Sasa unataka nini jamani zaidi ya hayo? ๐๐๐ Maana ubunge sahizi ni kama Picnic yenye malipo! Unajisumbua kujenga hoja ili iwejeKu sign posho
Ku take selfies...
Jana mama suluhu anawapa salamu wanagonga meza.
yes,na alishawahi kufanya kazi kwenye benk kubwa tu apo townAlipotoka IFM na Adv Dip alikwenda COVENTRY UK Master's degree
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Jana mama suluhu anawapa salamu wanagonga meza.
Bora wapewe time kuburudisha wabunge wengine wenye tija.Itakua kuchat na kusalimiana na wenzao wakiwa nje ya bunge
Kazi yao ni kupokea mshahara wa milioni 11 kila mwezi, posho ya 360000 kila wanapokuwa bungeni, lita 1,000 za mafuta ya gari kila mwezi na kusubiri kiinua mgongo cha 240 mils ambazo hawakuwahi kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi kama ilivyo kwa kada nyingine.Hawa waheshimiwa mi naona kazi yao ni kugonga meza tu, hawajengi hoja,
hawahoji chochote, labda juzi ndo nimemuona mwana FA kauliza swali rahisi sana na kujibiwa palepale.
Hawa wabunge ni vijana wajaribu kuwa wabunifu kwa kuamsha amsha hiyo serikali katika kila jambo.
Sio kukaa tu pale na kugonga meza tu.
Sugu alikuwemo mule na aliwapeleka haswa.
Professor Jay alikuwemo lakini kama hawa,
Hitimisho
Tafadhalini sana tuko mtaani huku mjenge hoja za msingi zifanyiwe kazi,
Sio kukaa tu huko mnakula posho, mshahara mil 11 na pensheni mil 200+ wakati kazi yenu kugonga meza tu.
Hiyo hata mtoto wangu anaweza fanya.
Ile kwao kwa kipato cha mshahara na kiinua mgongo 1 billionWanademka bado,taharuki wakijashtuka 2025 hiyoooo. Wakiondoa tongotongo machoni duh imekula kwao
Kubandeki,ndo mana bashite alikazana kuzama akafie huko na mukubwa alionya hakusikia akakatwa mazimaKazi yao ni kupokea mshahara wa milioni 11 kila mwezi, posho ya 360000 kila wanapokuwa bungeni, lita 1,000 za mafuta ya gari kila mwezi na kusubiri kiinua mgongo cha 240 mils ambazo hawakuwahi kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi kama ilivyo kwa kada nyingine.
Pia pesa zao hazikatwi kodi.
Halafu wanakwambia wewe uwe mzalendo๐๐๐๐
Ndiyo maana kila mtu anataka kuwa mbunge maana wanakula pesa ndefu sana. Bila kusahau mils 90 ya gari. Na hicho kiinua mgongo ambacho wanapewa bila kuchangia hakitumii kikokoteo na wala hawasubiri ufikishe miaka 60.Kubandeki,ndo mana bashite alikazana kuzama akafie huko na mukubwa alionya hakusikia akakatwa mazima