Wabunge Babutale na Mwana F A Kazi yao ipi bungeni?

Mtu kuwa au kutokuwa na mchango kwa Jamii ama eneo alilopo... haimuondolei ELIMU yake aliyoipata! Mwana Fa ana Master's degree! Wewe kukataa hakumuondolei Fa ELIMU yake! Prof Lipumba hata alaumiwe vp bado ni Prof! Kabudi ni Prof ijapokuwa watu wanalaumu utendaji wake
Kwaiyo iyo elimu yake ina msaada gan kwa taifa na uko bungeni, labda uniambie jumanne kishimba au msukuma wana masters nitaamini

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kazi yao ni kudemka tu kama hivi yaani!
 
Inauma sana,labda wao huwa hawafikishi miaka 60 ndio maana
 
kabla ya kucomment angalau hata uwe na basic understanding ya watu husika mfano huyo FA ana Masters sio kama yupo pale hana hiyo elimu unayodhani, jitahidi hata kufuatilia kidogo kabla ya kugeneralize
 
Hapo ndipo unapoiona taswira ya bunge hili la sasa hivi kweli
Unamtoa Sugu unamuweka Tulia...saa ngapi ataleta changamoto na kujenga hoja bungeni?
Wametuumiza sana wananchi kwa kile Tume wametufanyia uchaguzi huu uliopita,lakini yote Mungu anaona.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Elimu yao haina faida kwenye nchi, ni mazezeta tu
 
kabla ya kucomment angalau hata uwe na basic understanding ya watu husika mfano huyo FA ana Masters sio kama yupo pale hana hiyo elimu unayodhani, jitahidi hata kufuatilia kidogo kabla ya kugeneralize
Kilicho mpeleka bungeni siyo masters sijui headmistress. Wananchi wake walimwamini ili apeleke bungeni kero zao zikatatuliwe...
 
Kilicho mpeleka bungeni siyo masters sijui headmistress. Wananchi wake walimwamini ili apeleke bungeni kero zao zikatatuliwe...
kumbe alishinda nilikuwa sijui asante kwa kunikumbusha
 
Mtu akishashinda na kuwa mbunge anatamani miaka yake mi5 iishe hapo hapo ili ale Pensheni 200 Mil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…