Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

Umalaya katika umri wa utoto kumesababisha kumomonyoa maadili ya mabinti zetu, la mauaji tusubiri mahakama.
Inakera Mkuu kuona Watu wanamalizia hasira zao kwa Haka Kabinti. Hivi ngoja Nikuulize. Kosa la Haka Kabinti ni Lipi hasa?
 
Sio umbeya Mdee na Esther wanataka kujitafutia umaarufu katika kesi ya Lulu vile wanajua itavuta watu wengi,hata bila Mdee Lulu atashinda kesi!!Mdee sikuhizi hajitumi kwenye siasa kama ilivyokuwa kabla,anajihusisha na mambo ya urembo na kutaka umaarufu tu.
Sisi CDM tulikuwa tunamheshimu sana Mdee ila sasa anafanya vitu ambavyo sio vya kuendeleza chama:Tafadhali iga mfano wa Vicent Nyerere na Mchungaji Msigwa na wengineo wanajitolea sana kujenga chama
 
Hata mimi?
 
Umalaya katika umri wa utoto kumesababisha kumomonyoa maadili ya mabinti zetu, la mauaji tusubiri mahakama.

Don't tell me kwamba Maadili ya Mabinti zenu yameanza kumomonyoka Pindi tu Lulu alipoanza Umalaya, kwamba kabla Lulu hajaanza Umalaya Mabinti zenu walikwa na Maadili Mazuri. Duh Greti thinkaz bana
 
Muacheni atetewe , anahaki ya kutetewa na kujitetea.

Vaa kiatu cha lulu ndipo utakapo waheshimu wanaojitolea kumtetea.

Yawezekana amekosa but nani hana makosa na yuko tayari kumtupia lulu mawe?

Ni binadam atakua atajifunza atajirekebisha!
 
Mmmh mbona maneno makali namna hiyo mkuu asubuhi yote hii...umeguswa kunako?

jamani maneno ya kashfa matusi na kejeli hayafa hasa unapokuwa unachangia kwenye mambo ya kijamii. hebu rekebika na upende kujifunza zaid kuliko kuwa mjuaji.
 
Ninavyofahamu mimi Mh. Halima Mdee ni mwanasheria. Kuhusu sakata la LULU (Elizabeth), pamoja na yote yanayozungumzwa bado anahitaji usimamizi wa kisheria ni haki yake. Tunaamini Mh. Mdee ama Mh. Bulaya hawawezi pindisha sheria kama Lulu atakutwa na kosa la mauaji kwa kukusudia.

Pia kama itadhihirika kuwa anaumri wa miaka 17 (ingawa najua alishajitangaza na kusheherekea miaka18), atahitaji usimamizi na ushauri kama mtoto maana anaweza kuathirika vibaya sana na pressure ya jambo hili.

Tunaamini akipata usimamizi na usaidizi wa kisheria, na kama atahukumiwa kwa kisa la mauaji, basi itakuwa haki imetendeka. Tusipende kukimbilia kuhukumu, bali nakubaliana bado kunautata mkubwa kwenye tukio hili la kusikitisha ssana.

Walisema watamnasua kama WABUNGE au kama WANASHERIA? ...... maana kama wanasheria wako wengi na wamekaa kimya kupisha upelelezi. .....Come to think of it!!.....Mbona Mh. Mdee hatumuoni kwenye kesi za uchaguzi kama mwenzie Lissu???? anakimbilia hizi za haka katoto ambako kweli kameshaharibika.
 
ni kweli swala olote likishafika mahakamani hakuna mwenye uwezo wa kuliongelea tena, zaid ya mahakama. Lakini pengine angeweka wazi asaidiwe kivipi labda kupewa msaada wa kisheria au hata kulindwa manake kwa kuwaamegusa hisia za watu wengi maisha yake pia yanaweza kuwa hatarini. tusiliangalie kwa upande mmoja tu. pia anahaki ya kupewa msaada wa kishera na hata kuliwazwa manake kwa mtu wa 17&18 yrs scandal kama hii ni kubwa sana.
 
Wana JF ukweli ni huu: Simu iliyomuua KANUMBA ni kwamba LULU alikuwa anachati na Mheshimiwa ZITTO ZUBERI KABWE. Kanumba akiwa bafuni alimsikia LULU akise ZITTO KABWE I LOVE YOU THAN ANY BODY and TAKE A KISS MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. I miss you ZITTO KABWE. KANUMBA is just for short time but you ZITTO KABWE is FOR FOREVER. Baada ya kusikia hivyo kanumba alitoka bafuni na mapovu yake bila kujifuta na ndio mapovu ambayo madaktari waliyaona kwa kanumba. Halima Mdee ndio kuwadi wa Zitto aliofanikisha mpango wa zitto kumapta LULU kimapenzi, alijifanya kuwa rafiki wa mama lulu kumbe moyoni ana lake jambo. Hivi sasa zitto na halima wamefoji cheti cha kuzaliwa lulu kwa lengo la kumkomboa lengo akitoka zitto amuoe lulu na kuondokana swala la lulu kuwa nyumba ndogo ya zitto kama ilivyokuwa awali. WANA JF Mwenye akili haambiwi fikiri. unazani msukumo wa zitto kwa kufoji vyeti vya lulu ni bure. nitafuteni kwa namba 0757755333
 
Halima Mdee na mwenzake wana hisia za kike. Ni vema wana jamii mkafahamu kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kuacha kumtetea mwanamke mwenzake hasa inapotokea tatizo linalomgonganisha mwanamke na mwanaume. Hata hivyo tuelewe kuwa Lulu kama mabinti wengine hawezi kumuua mpenzi wake kirahisi hivyo. Mmesahau hoja yangu kifo cha Kanumba ni Freemason walihitaji mtu wao baada ya kuona anataka kuwageuka hivyo Lulu ametumika kama chambo. Angeweza kufia hata huko club kwa kusukumwa na mwanaume mwenzake. Tungesemaje? Hata mie natamani Lulu aachiwe huru kwanza ametwikwa kashfa ngumu na nzito kama kontena la mawe. Mshahara wa dhambi ni mauti wasanii wamezidi kushindana kuchukua vitoto vidogo ambavyo havijapevuka acha viwaumbue.
 
Akome, na siku nikiwa nawakanya watoto wangu kuhusu tabia mbovu case study itakuwa Lulu. Apate fair trial basi. Kwanza kuna utaratibu wa kuwapa advocates watuhumiwa wa mauaji. Nyie waheshimiwa kuna amendments kibao zinarekebishwa huku bungeni including intelectual ppty rites, shughulikieni hilo anaweza pata mrahaba wa kazi zake zikamsaidia. Mahakama ipo na itafanya kazi. Gender stufs ziwe na malengo chanya ya kujenga jamii bora. kama mna hamu ya kusaidia nendeni segerea au keko kuna watu kibao wana uhitaji. Mods ondoa hii kama hawajaelewa tu shauri yao.
 
Hii si habari nyepesi haijafahamika kama Lulu anahatia au la, sasa hawa Wabeijing (Bulaya & Mdee) wanaposema wanataka kumnasua wanamaanisha nini?

wanamaanisha kumsaidia kisheria, kwana hana haki hiyo?
 
Akome, na siku nikiwa nawakanya watoto wangu kuhusu tabia mbovu case study itakuwa Lulu. Apate fair trial basi. Kwanza kuna utaratibu wa kuwapa advocates watuhumiwa wa mauaji. Nyie waheshimiwa kuna amendments kibao zinarekebishwa huku bungeni including intelectual ppty rites, shughulikieni hilo anaweza pata mrahaba wa kazi zake zikamsaidia. Mahakama ipo na itafanya kazi. Gender stufs ziwe na malengo chanya ya kujenga jamii bora. kama mna hamu ya kusaidia nendeni segerea au keko kuna watu kibao wana uhitaji. Mods ondoa hii kama hawajaelewa tu shauri yao.

Aisee kumbe wewe Mbunge?
 
Tatizo lako ni Kufikiria kwa Makalio ambayo hayajatawazwa watu watarajie nini kutoka kwako? Fikra pumba zenye harufu ya Chooni?

Ungeweka Maneno ya Wabunge, Ungeweka ni kwa namna gani wataathiri mwenendo wa Kesi na Ungetuambia ni kwa nini Lulu hastahili watetezi.

La Sivyo Katawaze ili fikra zako zitakaswe

Naona JF tumeingiliwa! Kama kujadili hoja ndo tunafikia huku, tunaipotosha maana halisi ya the great thinkers
 
Huna data kaa kimya. Tweets za mwam
zo Zito alikuwemo na nafikiri bado yumo ila huwa namuamini sana kwa kusoma mazingira, simsikii tena. Isue zako za freemasons ni za kusadikika tu. Ukweli ni kwamba Lulu alikuwa anadate katika umri mdogo na kapata msala na sheria lzm ichukue mkondo wake. Mramba ni mzee sana tumuokoeni jamani. Namba ya Mpesa ni 07551212121212, wanaRombo wote wanamtegemea.
Halima Mdee na mwenzake wana hisia za kike. Ni vema wana jamii mkafahamu kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kuacha kumtetea mwanamke mwenzake hasa inapotokea tatizo linalomgonganisha mwanamke na mwanaume. Hata hivyo tuelewe kuwa Lulu kama mabinti wengine hawezi kumuua mpenzi wake kirahisi hivyo. Mmesahau hoja yangu kifo cha Kanumba ni Freemason walihitaji mtu wao baada ya kuona anataka kuwageuka hivyo Lulu ametumika kama chambo. Angeweza kufia hata huko club kwa kusukumwa na mwanaume mwenzake. Tungesemaje? Hata mie natamani Lulu aachiwe huru kwanza ametwikwa kashfa ngumu na nzito kama kontena la mawe. Mshahara wa dhambi ni mauti wasanii wamezidi kushindana kuchukua vitoto vidogo ambavyo havijapevuka acha viwaumbue.
 
Mkuu ninashangaa sana watu wanamwaga venom ya ajabu kuhusu huyu mtoto..! Yaani imefikia anaeonekana kumtetea kidogo ni mhaini..! Wanasahau ule msemo wa "it takes 2 to tango".. Kama wameamua kuwa chuki dhidi ya Lulu (ambae obvious udogo wake wa miaka na a stardom status aliyokuwa nayo) na wanashindwa kuwachukia wanaume ambao walim-exploit Lulu..! Na wengine ni wakubwa kuliko hata umri wa baba yake..! Hata Kanumba (RIP) hakustahili kuwa na yeye achilia mbali ku-mistreat the way alivyom-mistreat.. Na chuki inapitiliza mpaka wanaona hastahili haki zake kama mtuhumiwa..! Sidhani kama toka alipokamatwa alisomewa haki zake kisheria.. na kama mwanasheria alikuwapo wakati wa kuhojiwa..! Sasa wanapojitokeza wanasheria kutaka kuhakikisha haki inatendeka bado wenye chuki wanaponda..
Acheni kuhukumu.. Au kama ni lazima kuhukumu basi tuanze na hao wanaume waliomfikisha Lulu hapo.. Kanumba (RIP) akiwa mmoja wapo.. Otherwise hamna moral authority ya kuweka chuki zenu hadharani dhidi ya Lulu..

Hapo umesema kweli mkuu, mtuhumiwa hana kosa mpaka pale mahakama itakapothibitisha anamakosa. Sasa nani kasema mtuhumiwa hatetewi? Mbona hata Sadam alikua anatetewa? Yule jamaa wa Norway aliyeuwa watu zaidi ya 70 kwa kukusudia mbona naye alitetewa! Acheni chuki binafsi, uzuri sheria hazitambui chuzi binafsi zenu, haki itatendeka, kama LULU ana kosa basi atapewa hukumu yake kulingana na makosa yaliyothibitishwa, siyo hukumu zenu za kusikia mameno ya kila asemaye tuuuuu!
 
wanamaanisha kumsaidia kisheria, kwana hana haki hiyo?

Ana haki lakini wanaposema kumnasua ni kufanya kila linalowezekana ili aonekane kwamba hana hatia hata kama kweli alihusika katika tukio hilo.
 
Kuna maelezo nimesoma kwa gazeti na kenyewe kana majeraha (kalichapwa na bapa la panga) ina maana kulikuwa na kukurupushana. nafikiri kanastahili kusikilizwa na hata kama alimsukuma nafikiri it was in self defence hakutoka kwao kwenda kumua mshkaji.
 
Watu,

Tuache mihemko(emotions) ili tuweze kuwa Objective......

Tatizo la akina Mdee na Bulaya ni nini? Lulu ana haki ya kupewa msaada wa kisheria na kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom