Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,470
- 515
Inakera Mkuu kuona Watu wanamalizia hasira zao kwa Haka Kabinti. Hivi ngoja Nikuulize. Kosa la Haka Kabinti ni Lipi hasa?
Sio umbeya Mdee na Esther wanataka kujitafutia umaarufu katika kesi ya Lulu vile wanajua itavuta watu wengi,hata bila Mdee Lulu atashinda kesi!!Mdee sikuhizi hajitumi kwenye siasa kama ilivyokuwa kabla,anajihusisha na mambo ya urembo na kutaka umaarufu tu.
Sisi CDM tulikuwa tunamheshimu sana Mdee ila sasa anafanya vitu ambavyo sio vya kuendeleza chama:Tafadhali iga mfano wa Vicent Nyerere na Mchungaji Msigwa na wengineo wanajitolea sana kujenga chama
Umalaya katika umri wa utoto kumesababisha kumomonyoa maadili ya mabinti zetu, la mauaji tusubiri mahakama.
Mmmh mbona maneno makali namna hiyo mkuu asubuhi yote hii...umeguswa kunako?
Ninavyofahamu mimi Mh. Halima Mdee ni mwanasheria. Kuhusu sakata la LULU (Elizabeth), pamoja na yote yanayozungumzwa bado anahitaji usimamizi wa kisheria ni haki yake. Tunaamini Mh. Mdee ama Mh. Bulaya hawawezi pindisha sheria kama Lulu atakutwa na kosa la mauaji kwa kukusudia.
Pia kama itadhihirika kuwa anaumri wa miaka 17 (ingawa najua alishajitangaza na kusheherekea miaka18), atahitaji usimamizi na ushauri kama mtoto maana anaweza kuathirika vibaya sana na pressure ya jambo hili.
Tunaamini akipata usimamizi na usaidizi wa kisheria, na kama atahukumiwa kwa kisa la mauaji, basi itakuwa haki imetendeka. Tusipende kukimbilia kuhukumu, bali nakubaliana bado kunautata mkubwa kwenye tukio hili la kusikitisha ssana.
Hii si habari nyepesi haijafahamika kama Lulu anahatia au la, sasa hawa Wabeijing (Bulaya & Mdee) wanaposema wanataka kumnasua wanamaanisha nini?
Akome, na siku nikiwa nawakanya watoto wangu kuhusu tabia mbovu case study itakuwa Lulu. Apate fair trial basi. Kwanza kuna utaratibu wa kuwapa advocates watuhumiwa wa mauaji. Nyie waheshimiwa kuna amendments kibao zinarekebishwa huku bungeni including intelectual ppty rites, shughulikieni hilo anaweza pata mrahaba wa kazi zake zikamsaidia. Mahakama ipo na itafanya kazi. Gender stufs ziwe na malengo chanya ya kujenga jamii bora. kama mna hamu ya kusaidia nendeni segerea au keko kuna watu kibao wana uhitaji. Mods ondoa hii kama hawajaelewa tu shauri yao.
Tatizo lako ni Kufikiria kwa Makalio ambayo hayajatawazwa watu watarajie nini kutoka kwako? Fikra pumba zenye harufu ya Chooni?
Ungeweka Maneno ya Wabunge, Ungeweka ni kwa namna gani wataathiri mwenendo wa Kesi na Ungetuambia ni kwa nini Lulu hastahili watetezi.
La Sivyo Katawaze ili fikra zako zitakaswe
Naona JF tumeingiliwa! Kama kujadili hoja ndo tunafikia huku, tunaipotosha maana halisi ya the great thinkers
Halima Mdee na mwenzake wana hisia za kike. Ni vema wana jamii mkafahamu kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kuacha kumtetea mwanamke mwenzake hasa inapotokea tatizo linalomgonganisha mwanamke na mwanaume. Hata hivyo tuelewe kuwa Lulu kama mabinti wengine hawezi kumuua mpenzi wake kirahisi hivyo. Mmesahau hoja yangu kifo cha Kanumba ni Freemason walihitaji mtu wao baada ya kuona anataka kuwageuka hivyo Lulu ametumika kama chambo. Angeweza kufia hata huko club kwa kusukumwa na mwanaume mwenzake. Tungesemaje? Hata mie natamani Lulu aachiwe huru kwanza ametwikwa kashfa ngumu na nzito kama kontena la mawe. Mshahara wa dhambi ni mauti wasanii wamezidi kushindana kuchukua vitoto vidogo ambavyo havijapevuka acha viwaumbue.
Mkuu ninashangaa sana watu wanamwaga venom ya ajabu kuhusu huyu mtoto..! Yaani imefikia anaeonekana kumtetea kidogo ni mhaini..! Wanasahau ule msemo wa "it takes 2 to tango".. Kama wameamua kuwa chuki dhidi ya Lulu (ambae obvious udogo wake wa miaka na a stardom status aliyokuwa nayo) na wanashindwa kuwachukia wanaume ambao walim-exploit Lulu..! Na wengine ni wakubwa kuliko hata umri wa baba yake..! Hata Kanumba (RIP) hakustahili kuwa na yeye achilia mbali ku-mistreat the way alivyom-mistreat.. Na chuki inapitiliza mpaka wanaona hastahili haki zake kama mtuhumiwa..! Sidhani kama toka alipokamatwa alisomewa haki zake kisheria.. na kama mwanasheria alikuwapo wakati wa kuhojiwa..! Sasa wanapojitokeza wanasheria kutaka kuhakikisha haki inatendeka bado wenye chuki wanaponda..
Acheni kuhukumu.. Au kama ni lazima kuhukumu basi tuanze na hao wanaume waliomfikisha Lulu hapo.. Kanumba (RIP) akiwa mmoja wapo.. Otherwise hamna moral authority ya kuweka chuki zenu hadharani dhidi ya Lulu..
wanamaanisha kumsaidia kisheria, kwana hana haki hiyo?