Pre GE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

Pre GE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA

2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini

3. kuna wakuu wa mikoa waligombea 2020 hawakutoboa, round hii wamejipanga full mkoko, wabunge wenye majimbo hayo wajipange
LUHAGA MPINA at akija Upinzani, atashinda .

Anakubalika zaidi ya Sana.
 
Hata huyo mzaliwa wa kizimjob siku ile uhuni usingefanyika wangeacha demokrasia ichukue mkondo wake 2025 asingekuwa mgombea wa urais kupitia chama chake.

Kwa hiyo hiko chama uhuni ni asili yake
 
Hata huyo mzaliwa wa kizimjob siku ile uhuni usingefanyika wangeacha demokrasia ichukue mkondo wake 2025 asingekuwa mgombea wa urais kupitia chama chake.

Kwa hiyo hiko chama uhuni ni asili yake
Hizo ni ndoto za aliyevimbiwa. We mtoto huijui CCM
 
Back
Top Bottom