Pre GE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

Pre GE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kasim akigombea tena awe mbunge wa kawaoda huo ni ujinga
Sio ujinga unadhani atafanya kazi gani na wamezoea dezo na Heshima?

Malichela alikuwa Makamu wa Rais na alikuwa Mbunge Hadi alivyoshindwa na Kibajaji.
 
Kila mtu mwaka huu lazima ajipambanie mwenyewe maana mama mwenyewe maji ya shingo alafu aanze kuangaikia wengine kiufupi chadema mwaka huu watazoa viti vingi bungeni. Namis sana hekima za mzee mbatia I wish aludi bungeni. Wabunge wale Covid 19 wasamehewe tujenge chama tutavuka salama uchaguzi mkuu.
Wale wana viburi na jeuri waende waendako, FAM alikua anawadekeza sana
 
Kiufupi Mama ataacha watu wajipambanie,mwaka huu CDM inaweza zoa wabunge zaidi ya 100 bungeni
Sio rahisi kihivyo, sema wanaweza wasiwakazie sana bolt kama ilivyofanyika 2020,ila kuwaachia wajimwaye mwaye mjengoni hasa wale wanawaona mwiba sana kwao kupita itakuwa ngumu,
 
Alishaaga labda abadilike kwa mara ya pili.
Maana kipindi kile alichomchapa fimbo mpinzani wake akazirai alisema ndio kingekua kipindi chake cha mwisho lakini 2020 aligombea.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA

2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini

3. GAMBO - apambane sana

Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
Ningemshauri Mpina apime upepo mapema kama kweli wamempania basi awahi kuingia vyama vidogo kimoja chenye usajili mapema ili agombee urais. Wapenda haki na wanamapinduzi watamfuata. Wengi ccm watamfuata na wengine hata kama hawatoki ccm watampigia kura. CCM hii kwa kuweka hila wanamagufuli wasiweze kutimiza azma yao kuweka mrithi wa magufili bila shaka itapasuka tu. Mama wanamagufuli hawamwamini kabisa. Wanaona ni kundi lile la wahuni tu wenye tamaa ya uongozi kujinufaisha binafsi.
 
utashangazwa na mengi kabla ya huo uchaguzi. Usiowatarajia watakua na unaowatarajia hawatokua. Kuanzia na yule aliyejipitisha kihuni kule dodoma
 
Back
Top Bottom