wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Huyo namba 1 ndo kabisa achukue marupurupu yake ya ubunge maana kurudi Dodoma baada ya oktoba itakuwa ngumu sana1. LUHAGA MPINA
2. NDUNGAI
3.
LUHAGA MPINA at akija Upinzani, atashinda .1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
3. kuna wakuu wa mikoa waligombea 2020 hawakutoboa, round hii wamejipanga full mkoko, wabunge wenye majimbo hayo wajipange
hatma ipo kwa wenye mamlaka ya kuhesabu kuraLUHAGA MPINA at akija Upinzani, atashinda .
Anakubalika zaidi ya Sana.
Kassim kajipanga sana, atapita ila cheo chake hakina guaranteeHata waziri mkuu,angetulia tu kuliko agombee then asirudi kama waziri mkuu bungeni next season.
Sidhani kama atapewa tena uwaziri MkuuKassim kajipanga sana, atapita ila cheo chake hakina guarantee
Cha ajabu naye akihamia upinzani atafanyiwa rafu za uchaguzi naye ataanza kulilia katiba mpya. Cha ajabu kila siku wanaambiwa katiba mpya na tume huru ni kwa faida ya wote sio CHADEMA tu ila hawaelewi!!. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
Nami nafikiri hatapenda kurudi tena! Sijui lakini!Ndugai sidhani kama atagombea aise.
Alishaaga labda abadilike kwa mara ya pili.Nami nafikiri hatapenda kurudi tena! Sijui lakini!
Huyu anaenda kuwa PM mstaafu,kwani term zake mbili zimeisha.Hata waziri mkuu,angetulia tu kuliko agombee then asirudi kama waziri mkuu bungeni next season.
Ndoto ya mchana hiyo, kwenye uchaguzi wa mitaa nguvu itumike wengine wakatwe, alafu uchaguzi wa wabunge ndio waachwe wajipambanie?? Unaota amkaKiufupi Mama ataacha watu wajipambanie,mwaka huu CDM inaweza zoa wabunge zaidi ya 100 bungeni
Kosa lao nini???1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
3. Kuna wakuu wa mikoa waligombea 2020 hawakutoboa, round hii wamejipanga full mkoko, wabunge wenye majimbo hayo wajipange
Hizo ni ndoto za aliyevimbiwa. We mtoto huijui CCMHata huyo mzaliwa wa kizimjob siku ile uhuni usingefanyika wangeacha demokrasia ichukue mkondo wake 2025 asingekuwa mgombea wa urais kupitia chama chake.
Kwa hiyo hiko chama uhuni ni asili yake
CDM ipi?Kiufupi Mama ataacha watu wajipambanie,mwaka huu CDM inaweza zoa wabunge zaidi ya 100 bungeni