ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sio ujinga unadhani atafanya kazi gani na wamezoea dezo na Heshima?Kasim akigombea tena awe mbunge wa kawaoda huo ni ujinga
Zitakua ni tamaa tu, angetulia au akasome kama Sumaye.Atafanya kama Malechela.Atafanya kazi gani wakati wamezoea vya Bure!
Asome Ili agundue nini?Zitakua ni tamaa tu, angetulia au akasome kama Sumaye.
Hivi Sumaye alienda kusoma nini? Akasome chochote,iwe kama utalii tu huko USAsome Ili agundue nini?
Wale wana viburi na jeuri waende waendako, FAM alikua anawadekeza sanaKila mtu mwaka huu lazima ajipambanie mwenyewe maana mama mwenyewe maji ya shingo alafu aanze kuangaikia wengine kiufupi chadema mwaka huu watazoa viti vingi bungeni. Namis sana hekima za mzee mbatia I wish aludi bungeni. Wabunge wale Covid 19 wasamehewe tujenge chama tutavuka salama uchaguzi mkuu.
Huyu ana mshahara wa melele mpaka kufa na marupurupu teleSio ujinga unadhani atafanya kazi gani na wamezoea dezo na Heshima?
Malichela alikuwa Makamu wa Rais na alikuwa Mbunge Hadi alivyoshindwa na Kibajaji.
Sio rahisi kihivyo, sema wanaweza wasiwakazie sana bolt kama ilivyofanyika 2020,ila kuwaachia wajimwaye mwaye mjengoni hasa wale wanawaona mwiba sana kwao kupita itakuwa ngumu,Kiufupi Mama ataacha watu wajipambanie,mwaka huu CDM inaweza zoa wabunge zaidi ya 100 bungeni
Kuna kundi kubwa sana linakuja Upinzani - yaani October si mbali ni mafuriko.1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
3. GAMBO - apambane sana
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
Kwani lazima wawe wabunge miaka yote?1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
3. GAMBO - apambane sana
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
Kwa tume hii ni ya kijinga ni ngumu snSio rahisi kihivyo, sema wanaweza wasiwakazie sana bolt kama ilivyofanyika 2020,ila kuwaachia wajimwaye mwaye mjengoni hasa wale wanawaona mwiba sana kwao kupita itakuwa ngumu,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alishaaga labda abadilike kwa mara ya pili.
Maana kipindi kile alichomchapa fimbo mpinzani wake akazirai alisema ndio kingekua kipindi chake cha mwisho lakini 2020 aligombea.
Vipindi 2 vitakuwa vimemtosha!Sidhani kama atapewa tena uwaziri Mkuu
Alishasema tangu bado ni spika kwamba hatagombeà. Mbona hili alitangaza hàdharani?Nami nafikiri hatapenda kurudi tena! Sijui lakini!
Ningemshauri Mpina apime upepo mapema kama kweli wamempania basi awahi kuingia vyama vidogo kimoja chenye usajili mapema ili agombee urais. Wapenda haki na wanamapinduzi watamfuata. Wengi ccm watamfuata na wengine hata kama hawatoki ccm watampigia kura. CCM hii kwa kuweka hila wanamagufuli wasiweze kutimiza azma yao kuweka mrithi wa magufili bila shaka itapasuka tu. Mama wanamagufuli hawamwamini kabisa. Wanaona ni kundi lile la wahuni tu wenye tamaa ya uongozi kujinufaisha binafsi.1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
3. GAMBO - apambane sana
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
Kwan jaman anataka Tena?? Awe wazir mkuu mika 15 kwel?Kassim kajipanga sana, atapita ila cheo chake hakina guarantee